Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Biblia yenyewe unayozungumzia hapa ndio kitabu cha Kiada za ziada cha Wakatoliki..biblia ndio mwongozo nikikushauri ujifunze maandiko ya sheria ya neema kwa uongozi wa Roho maana roho atakuongoza kwenye kweli