MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Kwa hiyo Umejimilikisha mjadala?
Nimeona unadandia treni kama Wasabato wenzako walivyodandia wakaishia kuangukia pua...

Mjada hapa ni huu....

Tupe sababu ya Padre Luther kupunguza vitabu 7 vya Agano la Kale.....Pia tupe sababu iliyotaka kumpelekea Luther kutaka kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrani...
 
Sasa vitabu 7 alivyoviondoa Martin Luther vinauhusiano gani na Apokrifa books...?? Vitabu vilivyoondolewa na Luther havijawahi kuwa Apokrifa books...labda Apokrifa kwa Waptotestant....
Vitaje hivyo vitabu na aliviondoa mwaka gani na je, baraza la Trent lilikaa karne ya 16 ilikuwa mwaka gani?
 
Kwa anayehitaji uelewa zaidi atafute vitabu vinavyoitwa Biblia kwa Wote no 1 hadi 3. Vimeandikwa na Padri Christian L. Mhagama
 
Catholic ni ya warumi na inauhusiano na upagani wa kirumi,
Hebu onesha huo uhusiano upo wapi...??

walokuwa na maamuzi ya Biblia iweje ni wayahudi
Tangu lini Wayahudi wakahusika na Vitabu vya Agano Jipya...? Tangu lini Wayahudi Wakahusika na vitabu na nyaraka zinazo taja jina la Yesu...? Au ni Wayahudi gani hao unaoongelea. ??
na si hao wapagani unaowatetea humu
Kwataarifa yako Biblia ni mali ya Kanisa Katoliki...
 
Vitaje hivyo vitabu na aliviondoa mwaka gani na je, baraza la Trent lilikaa karne ya 16 ilikuwa mwaka gani?
Vitabu 7 hivyo vyote viliandikwa na Wayahudi Walioishi Misri..na viliandikwa karne za mwishini kabla ya Ujuio wa Yesu ...

Kulikuwa na Mitaguso zaidi ya mmoja iliyokas mji wa Trent...Unataka mtaguso wa Trent wa mwaka gani...?
 
Mungu anawajua wake na wake hawawezi kuwa farisayo wa kipagani kama wewe!endelea na mjadala wako basi.
 
hii kitu aina ubishi tena pope Francis amekishwa itolea maelezo hii kitu kuwa the aim of padre Luther ilikuwa kumake Reformation of Catholic church but not to divide her
 
Kama Jewish bible ambayo ni sawa na agano la kale kwa most christians ilikuwa au ipo na vitabu 24 tu, je hivyo vilivyozidi vya wakatoliki na waprotestants walivitoa wapi?
 
Toa uongo wako hapa, kama Biblia ni mali ya kanisa katoliki, kwa nini mambo yenu mengi hayako biblical? Mbona mna dogma nyingi sana hadi mnalazimisha dogma ziwe doctrines? Na kwa nini mnakiogopa kukifundisha kitabu cha ufunuo ktk makanisa yenu? Mbona mambo yenu mengi ni ya kipagani?
 
Ukitaka kujua ukweli wa mambo usiongee Kwa mihemko
 
Vitabu 7 hivyo vyote viliandikwa na Wayahudi Walioishi Misri..na viliandikwa karne za mwishini kabla ya Ujuio wa Yesu ...

Kulikuwa na Mitaguso zaidi ya mmoja iliyokas mji wa Trent...Unataka mtaguso wa Trent wa mwaka gani...?
Aisee..weng hatujui na tunaliombea taifa teule kwa sababu ya kukalilishwa
 
Hahhahahaaa... Hapo umeua kabsa...bora mtu kama hajui historia ya biblia akae kimya kuliko kujiabsha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…