Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Useja ni fix, tena unafiki wa hali ya juu. Mungu anataka uijaze Dunia, wewe upo kinyume nae!!! Imekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni halali.... ila sasa za kuambiwa/kusoma changanya na zako!! ndo maana watu tunaandika vitabu!!....unasomaaa.... then una challenge wazo la Mwandishi!! unaibuka na chako kizuri zaidi.......Kama ni yako nitakimbia....ila kama ni kutoka vyanzo halali nitashukuru.
Tofauti yao ni ipi kwani?Hiv unaweza niambia alieandika kitabu cha daniel 13 na kuendelea? Na je Daniel wa kuanzia sura ya 1-12 ndio huyo huyo wa sura ya 13 na kuendelea?
Ukizisoma hizo sura utagundua kuwa ni watu wawili tofautiTofauti yao ni ipi kwani?
...Daniel alihudumu kwenye falme kama 4 tofauti kuanzia ya Nebukadneza, Belshaza, Uajemi na moja sikumbuki.Ukizisoma hizo sura utagundua kuwa ni watu wawili tofauti
Belshaza hakuwa mfalme alikua crown prince...Daniel alihudumu kwenye falme kama 4 tofauti kuanzia ya Nebukadneza, Belshaza, Uajemi na moja sikumbuki.
Hivyo unabii alioutoa na maono aliyepokea yametofautiana kutokana na kipindi utawala uliopo kumbuka hata ameandika kuhusu habari za siku za mbeleni sana (kama Yohana aliyekuwa Patmo).
Hivyo Daniel ni yule yule ila mafunuo aliyepokea yametofautiana kulingana na utawala uliokuwepo wakati ule.
Baada ya Nebukadneza kufa alichukua ufalme ila aliuawa na Waajemi wakachukua utawala.Belshaza hakuwa mfalme alikua crown prince
Hapana , ni hivi babake Nabodinus ndo alikuwa mfalme ila mwaka 553 alisafiri kwa miaka 10,yaani hadi 543,Baada ya Nebukadneza kufa alichukua ufalme ila aliuawa na Waajemi wakachukua utawala.
Belishazar ndo alikua Bashite wa Babylon[emoji23]Baada ya Nebukadneza kufa alichukua ufalme ila aliuawa na Waajemi wakachukua utawala.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu kwa hili huna data.... Martine hakuwa Askofu, alikuwa Padre na miongoni mwa sababu zilizomuondoa kwenye kanisa Katoliki ni hili la Uaskofu, alipinga hairakia ya Kanisa na vyeo kama Uaskofu, Upapa na mengineyo. Sema tu mengi aliyoyapinga aliishia kuayatenda akiwa kwenye kanisa lake. Mengine ni suala la Useja, hakutaka kabisa kulisikia na alipoondoka aliondoka na Mtawa wa kike aliyeishia kuwa mkewe.
Mambo ni mengi sana na yanahitaji muda wa kutosha. Lakini niseme tu kwamba "siyo kila alilolipinga lilikuwa baya" mengine aliyapinga kihalali kabisa japo njia aliyoitumia haikuhalalisha kitendo chake!!!
Pili, Biblia za wapeotestanti na wapentekoste zina vitabu 66 wakati biblia ya Wakatoliki ina vitabu 72. Hili lilitokana na kuwa baadhi ya yaliyomo kwenye vitabu hivyo (deuterokanoni) vinapingana na mafundisho yao. Sababu nyingi ni za kibinadamu tu!!! Hili lilikuwa rahisi sana kwake kwani suala zima la "Utaifa" liliingizwq kwenye huu mchakato wa Luther kujiondoa kanisa, matokeo yake kwa vile alikuwa Mjerumani, dhehebu lake likawa "dini dora" ya Ujerumani, katika hali kama hii, ni rahisi kwa uwezo wa kifedha kuchapisha Biblia zenye vitabi 66 na kuviondoa vile vingine!!!!
Vip kuhusu lugha iliyotumika? Maana daniel 1-12 ilikuwa imeandikwa kwa kiebrania lakini Daniel 13 na 14 zilikuwa zimeandikwa kwa kigiriki....Daniel alihudumu kwenye falme kama 4 tofauti kuanzia ya Nebukadneza, Belshaza, Uajemi na moja sikumbuki.
Hivyo unabii alioutoa na maono aliyepokea yametofautiana kutokana na kipindi utawala uliopo kumbuka hata ameandika kuhusu habari za siku za mbeleni sana (kama Yohana aliyekuwa Patmo).
Hivyo Daniel ni yule yule ila mafunuo aliyepokea yametofautiana kulingana na utawala uliokuwepo wakati ule.
Huenda ziliandikwa kwa nyakati hizi tofauti tu....Vip kuhusu lugha iliyotumika? Maana daniel 1-12 ilikuwa imeandikwa kwa kiebrania lakini Daniel 13 na 14 zilikuwa zimeandikwa kwa kigiriki.
Sawa sawa asante sana kwa ufafanuzi wakoHuenda ziliandikwa kwa nyakati hizi tofauti tu....
Kwa miaka ya zamani mtu kushuhudia falme 4 lazima awe ameishi miaka mingi (kumbuka mfalme hudumu kwenye kiti chake mpaka afe,auwawe au apinduliwe)
Lete tafsiri iluokua sawa humo humo kwenye biblia,kua yesu kua mwana wa mungu sio kwa kutia mimba.je nikuulize swali je??? Adam alikua na mama au baba na je huoni kua Adam ndio aliofaa kua mwana wa mungu Mana yy alimuumba kwa mikono yake.ndio hapo mshapotoka kwasababu ilitakiwa yohana au Luka wanukuu kwa kutoka kwa yesu mwenyewe kua yy nimwana wa mungu. Hivi unataka kuniambia yesu hakupewa kitabu. Mana hii biblia mmejutungia wenyewe kwa matamanio yenuMbassa jr,
Naziona fikra zako, nisawa na wale wanaosema Mungu hakuzaa, maana kwao kuzaa ni kufanya tendo la ndoa na kumpa mtu mimba, Mungu amewaumba au aliwaumba wengine kwa kusudi maalumu, kama ndivyo wewe ninani uhojie makusudi yake?
Kwa imani tunaamini..hivyo..kwa matendo alidhihirisha hivyo..kuwa yeye ni mwana wa Mungu...mana ndiye aliyekuwepo tangu mwanzo naye ni alfa na omega.Lete tafsiri iluokua sawa humo humo kwenye biblia,kua yesu kua mwana wa mungu sio kwa kutia mimba.je nikuulize swali je??? Adam alikua na mama au baba na je huoni kua Adam ndio aliofaa kua mwana wa mungu Mana yy alimuumba kwa mikono yake.ndio hapo mshapotoka kwasababu ilitakiwa yohana au Luka wanukuu kwa kutoka kwa yesu mwenyewe kua yy nimwana wa mungu. Hivi unataka kuniambia yesu hakupewa kitabu. Mana hii biblia mmejutungia wenyewe kwa matamanio yenu
Ndugu yangu wewe ni mwongo sana, either unakaza tu shngo au umekaririshwa!Historia ya Biblia ni kuwa ni Kitabu kilichotengenezwa na Kanisa Katoliki na kukamilika mwaka 300 Ad...Ilikamilika ilkiwa na vitabu 72/73 ila baadae Martni Luther aliondoa vitabu 7 na kubakiwa na vitabu 66.,
Hakuishia hapo, aliondoa vitabu 3 vya Agano jipya....Biblia ya Martin Luther ilikuwa na vitabu 39 vya Agano La Kale na Vitabu 24 vya Agano jipya..
Reformer mwenzake Calvin ndiye aliyemsihi kuvirudisha vitabu 3 ya Agano jipya..
Lete ukweliNdugu yangu wewe ni mwongo sana, either unakaza tu shngo au umekaririshwa!