MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Kama ni yako nitakimbia....ila kama ni kutoka vyanzo halali nitashukuru.
Ni halali.... ila sasa za kuambiwa/kusoma changanya na zako!! ndo maana watu tunaandika vitabu!!....unasomaaa.... then una challenge wazo la Mwandishi!! unaibuka na chako kizuri zaidi.......

kwa mfano vitabu vya Apocryphal Viliondolewa kwa sababu vilikuwa vinaongelea Mambo mabaya sana na unyama wa hali ya juu ambao jemedari Alexander de great ali watendea waafrica weusi, na

siri kubwa iliyobeba asili ya Mataifa ya Waarabu!! na unyama wa biashara ya watumwa waliofanyia ndugu zao weusi tena vibaya sana kuliko wazungu na huko ndo weusi wengi walienda lkn unawasikia!!

na katika kuwanunua watumwa walifanya unyama mbaya sana dhidi ya weusi ni waaarabu! waliwaua , wanaume wakawaasi maksudi tu! matokeo ya dhambi hii ikawa ni pamoja na kukataliwa kotekote!

Nasema hivi kwa sababu haya yoote nk, yameelekezwa kwenye vitabu vya Biblia Apocryphas Palee vatican Libraries!!! utalia km wewe siyo burushi!!

Ni hivi wale waarabu siyo identinty ya jina lao la asili!! na wala wao hawana utaifa Duniani bali ni wagunya mchanganyiko wa kuzaliana kwa watumwa weusi na waungwana weupe!! kuna wakati walitaka kujiunga jumuiaya ya EU!

lkn sasa huku kwa weusi Waarabu kwa hiali yao hawapapendi km wanavotamani kuwa sehemu ya Ulaya yaani wawe wazungu!! hata jumuiya AU ni wachache mnooo!! ni km hkn tu!! labda marehemu Gaddafi tu!

lkn sasa maajabu wazungu wana wakataa kuwatambua!! na kamwe hakujawahi kuwa na Muarabu Mtumwa! lkn vitabu vitakatifu vinawataja sana watumwa!! km ni ivo pale wanafanya nini?? km siyo kwao??

hivyo vitabu vinasema yooote hayo!! siku hizi ivo vitabu wanaviachia tu! ili mjue ukweli! mliko toka na muendako! ukipata/vipata kuvisoma hakika huviachii kirahisi!!
 
Mimi sio Mluteli wala member wa RC ingawa madhehebu haya yote nimeyasoma sana historia zao so naweza kusema nayajua kwa kiasi fulani; sitaki kuonesha kama nakuunga mkono au nakupinga but nitakupa tahadhari mbili kuhusu historia kwa ujumla wake (this is why nilipenda masomo ya sayansi kuliko masomo ya ART, sababu ni ndogo tu, kwenye masomo yote ya art hakuna proves, history being one of them.
Maelezo yako kwa sehemu kubwa inaonesha umesoma historia ya Martin Luther kupitia waandishi wa Roman Catholic, ukisoma history ya huyu jamaa kupitia Lutherans utaipata story tofauti kabisa na kwakua sisi wote ni wa kwa Mtogole either tutabaki njiapanda tusijue nani anasema ukweli ju ya mtu mmoja Martin Luther or tutaukubali ukweli kupitia IMANI yetu, kama ni muumini wa makanisa ya Ki protestant utaamini ulicho kisoma kupitia Lutherans na kama wewe ni RC utaamini maandishi ya RC (kama unavyo onekana hapa, i am very sorry kama nitakua nimekuelewa vibaya, very sorry ). Mfano mwingine wa upotoshwaji wa historia ( narudia, ndio maana sikulipenda sana somo la History na masomo ya art kwa ujumla ) ni issue ya hapa kwetu Tanzania kuhusu muungano wetu na Zanzibar na hata mapinduzi ya Zanzibar, wote humu tumesoma shuleni kwamba aliyeongoza mapinduzi yale ni Sheikh Abeid Aman Karume, wana ccm wengi wanataka tuamini hivo, wazee wetu baadhi wamekuja na story tofauti kwamba kuna mtu aliitwa Tito Okelo wakati vitabu vya shuleni havisemi chochote kuhusu huyu mwamba, ninachotaka kusema hapa ni kwamba, historia inategemea umesoma vitabu vya nani then wewe kama mtu mzima unaamua uaminivipi.

Baada ya kusema hayo, nakupa homework, kama unaamini katika Biblia and may be kama pia hua unasoma Biblia, linganisha unachokisoma kwenye Biblia Vs mafundisho ya RC na Lutheran kama yanashabihiana na Biblia; mwishoni naomba niseme hivi, Martin Luther king hakua wa kwanza kupingana na mafundisho ya RC, kuna jamaa mwingine Mwingereza mwalimu wa Oxford universty, miaka almost 200 kabla ya Martin Luther King alikua anaitwa John Wyclif, huyu jamaa nae alipingana sana kuhusu baadhi ya mafundisho ya RC, nadhani kupitia mafundisho yake ndio likatoka dhehebu la Anglican
 
Hiv unaweza niambia alieandika kitabu cha daniel 13 na kuendelea? Na je Daniel wa kuanzia sura ya 1-12 ndio huyo huyo wa sura ya 13 na kuendelea?
 
Ukizisoma hizo sura utagundua kuwa ni watu wawili tofauti
...Daniel alihudumu kwenye falme kama 4 tofauti kuanzia ya Nebukadneza, Belshaza, Uajemi na moja sikumbuki.

Hivyo unabii alioutoa na maono aliyepokea yametofautiana kutokana na kipindi utawala uliopo kumbuka hata ameandika kuhusu habari za siku za mbeleni sana (kama Yohana aliyekuwa Patmo).

Hivyo Daniel ni yule yule ila mafunuo aliyepokea yametofautiana kulingana na utawala uliokuwepo wakati ule.
 
Belshaza hakuwa mfalme alikua crown prince
 
Baada ya Nebukadneza kufa alichukua ufalme ila aliuawa na Waajemi wakachukua utawala.
Hapana , ni hivi babake Nabodinus ndo alikuwa mfalme ila mwaka 553 alisafiri kwa miaka 10,yaani hadi 543,
Ndiposa crown prince akashikilia madaraka kwa huo mda kabla King Nabodinus hajarudi na kuna kupinduliwa na waajemi,
Bible inasema Babu yake belishazar yaani Nebukednezer ndo alitanga tanga jangwani miaka 10,,
Lakini alikua Nabodinus ndo alitowekea uarabuni kwa miaka 10.
Screenshot_20220213-133541.jpg
Screenshot_20220213-133802.jpg
 
Mkuu kwa hili huna data.... Martine hakuwa Askofu, alikuwa Padre na miongoni mwa sababu zilizomuondoa kwenye kanisa Katoliki ni hili la Uaskofu, alipinga hairakia ya Kanisa na vyeo kama Uaskofu, Upapa na mengineyo. Sema tu mengi aliyoyapinga aliishia kuayatenda akiwa kwenye kanisa lake. Mengine ni suala la Useja, hakutaka kabisa kulisikia na alipoondoka aliondoka na Mtawa wa kike aliyeishia kuwa mkewe.

Mambo ni mengi sana na yanahitaji muda wa kutosha. Lakini niseme tu kwamba "siyo kila alilolipinga lilikuwa baya" mengine aliyapinga kihalali kabisa japo njia aliyoitumia haikuhalalisha kitendo chake!!!

Pili, Biblia za wapeotestanti na wapentekoste zina vitabu 66 wakati biblia ya Wakatoliki ina vitabu 72. Hili lilitokana na kuwa baadhi ya yaliyomo kwenye vitabu hivyo (deuterokanoni) vinapingana na mafundisho yao. Sababu nyingi ni za kibinadamu tu!!! Hili lilikuwa rahisi sana kwake kwani suala zima la "Utaifa" liliingizwq kwenye huu mchakato wa Luther kujiondoa kanisa, matokeo yake kwa vile alikuwa Mjerumani, dhehebu lake likawa "dini dora" ya Ujerumani, katika hali kama hii, ni rahisi kwa uwezo wa kifedha kuchapisha Biblia zenye vitabi 66 na kuviondoa vile vingine!!!!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
...Daniel alihudumu kwenye falme kama 4 tofauti kuanzia ya Nebukadneza, Belshaza, Uajemi na moja sikumbuki.

Hivyo unabii alioutoa na maono aliyepokea yametofautiana kutokana na kipindi utawala uliopo kumbuka hata ameandika kuhusu habari za siku za mbeleni sana (kama Yohana aliyekuwa Patmo).

Hivyo Daniel ni yule yule ila mafunuo aliyepokea yametofautiana kulingana na utawala uliokuwepo wakati ule.
Vip kuhusu lugha iliyotumika? Maana daniel 1-12 ilikuwa imeandikwa kwa kiebrania lakini Daniel 13 na 14 zilikuwa zimeandikwa kwa kigiriki.
 
Vip kuhusu lugha iliyotumika? Maana daniel 1-12 ilikuwa imeandikwa kwa kiebrania lakini Daniel 13 na 14 zilikuwa zimeandikwa kwa kigiriki.
Huenda ziliandikwa kwa nyakati hizi tofauti tu....

Kwa miaka ya zamani mtu kushuhudia falme 4 lazima awe ameishi miaka mingi (kumbuka mfalme hudumu kwenye kiti chake mpaka afe,auwawe au apinduliwe)
 
Huenda ziliandikwa kwa nyakati hizi tofauti tu....

Kwa miaka ya zamani mtu kushuhudia falme 4 lazima awe ameishi miaka mingi (kumbuka mfalme hudumu kwenye kiti chake mpaka afe,auwawe au apinduliwe)
Sawa sawa asante sana kwa ufafanuzi wako
 
Mbassa jr,
Naziona fikra zako, nisawa na wale wanaosema Mungu hakuzaa, maana kwao kuzaa ni kufanya tendo la ndoa na kumpa mtu mimba, Mungu amewaumba au aliwaumba wengine kwa kusudi maalumu, kama ndivyo wewe ninani uhojie makusudi yake?
Lete tafsiri iluokua sawa humo humo kwenye biblia,kua yesu kua mwana wa mungu sio kwa kutia mimba.je nikuulize swali je??? Adam alikua na mama au baba na je huoni kua Adam ndio aliofaa kua mwana wa mungu Mana yy alimuumba kwa mikono yake.ndio hapo mshapotoka kwasababu ilitakiwa yohana au Luka wanukuu kwa kutoka kwa yesu mwenyewe kua yy nimwana wa mungu. Hivi unataka kuniambia yesu hakupewa kitabu. Mana hii biblia mmejutungia wenyewe kwa matamanio yenu
 
Kwa imani tunaamini..hivyo..kwa matendo alidhihirisha hivyo..kuwa yeye ni mwana wa Mungu...mana ndiye aliyekuwepo tangu mwanzo naye ni alfa na omega.

#MaendeleoHayanaChama
 
Historia ya Biblia ni kuwa ni Kitabu kilichotengenezwa na Kanisa Katoliki na kukamilika mwaka 300 Ad...Ilikamilika ilkiwa na vitabu 72/73 ila baadae Martni Luther aliondoa vitabu 7 na kubakiwa na vitabu 66.,
Hakuishia hapo, aliondoa vitabu 3 vya Agano jipya....Biblia ya Martin Luther ilikuwa na vitabu 39 vya Agano La Kale na Vitabu 24 vya Agano jipya..

Reformer mwenzake Calvin ndiye aliyemsihi kuvirudisha vitabu 3 ya Agano jipya..
Ndugu yangu wewe ni mwongo sana, either unakaza tu shngo au umekaririshwa!
 
Back
Top Bottom