Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wengine ni Jun Huss,John Wycliff,Hudrich Zwingli na wengine wengi....Luther
Ukiwa unauliza utajifunza. Iko hivi. Kuna kipindi kanisa liliwahi kupitia kipindi kigumu Sana. Kwani siasa ilichanganyika na Dini.Viongozi wa dini ilifikia wakati wanapewa nyadhifa za kisiasa na hata wanasiasa wanapewa baadhi ya nyadhifa kwenye dini. Sasa ilikuja kufikia kipindi wanasiasa wakawa wana influence maamuzi kwenye dini. Ndipo viongozi wakaona ni lazima kutenganisha haya mambo. Mf. Mfalme Henry alitaka kuongeza mke wa pili hivyo akataka Kanisa liidhinishe, Kanisa lilikataa. Ndo maana ukisema Kanisa liliwahi kufanya uovu ni kweli kwasababu wakati Huo hata baadhi ya viongozi wa kisiasa walitumia nguvu walizopewa katika dini kuhalalisha baadhi ya uovu wao.Hivi unatambua kuwa Papa Yohana Paulo II aliomba radhi kwa wayahudi na watu wote walioteswa na kuuawa na kanisa katoliki? ikiwa kanisa katoliki ndilo lililopigwa mawe ilikuwaje papa aombe radhi kutokana na kanisa hilohilo kumwaga damu isiyo na hatia?
Sawa hapo tuko pamoja, na kwa kuwa kanisa lilichanganyika na dola ambayo hapo awali walikuwa hawaupendi ukristo, viongozi haohao wa kisiasa walifanya hila ya kuleta mafundisho potofu kanisani. Ukweli huu unapaswa usemwe wazi na ndio maana kuliibuka vuguvugu kubwa la wanamatengenezo kupinga upotoshaji wa wazi wa Biblia.Ukiwa unauliza utajifunza. Iko hivi. Kuna kipindi kanisa liliwahi kupitia kipindi kigumu Sana. Kwani siasa ilichanganyika na Dini.Viongozi wa dini ilifikia wakati wanapewa nyadhifa za kisiasa na hata wanasiasa wanapewa baadhi ya nyadhifa kwenye dini. Sasa ilikuja kufikia kipindi wanasiasa wakawa wana influence maamuzi kwenye dini. Ndipo viongozi wakaona ni lazima kutenganisha haya mambo. Mf. Mfalme Henry alitaka kuongeza mke wa pili hivyo akataka Kanisa liidhinishe, Kanisa lilikataa. Ndo maana ukisema Kanisa liliwahi kufanya uovu ni kweli kwasababu wakati Huo hata baadhi ya viongozi wa kisiasa walitumia nguvu walizopewa katika dini kuhalalisha baadhi ya uovu wao.
Ndio maana Kanisa katoliki linabaki kuwa imara kwasababu liliisha pitia majaribu mengi na likarekebisha Makosa.Sawa hapo tuko pamoja, na kwa kuwa kanisa lilichanganyika na dola ambayo hapo awali walikuwa hawaupendi ukristo, viongozi haohao wa kisiasa walifanya hila ya kuleta mafundisho potofu kanisani. Ukweli huu unapaswa usemwe wazi na ndio maana kuliibuka vuguvugu kubwa la wanamatengenezo kupinga upotoshaji wa wazi wa Biblia.
Hitimisho lako linaashilia kuwa kanisa katoliki sio kazi ya Mungu. Ni kazi ya binadamu. Kwa sababu kazi ya Mungu haina makosa wala majaribu. Na hakuna kurekebisha.Ndio maana Kanisa katoliki linabaki kuwa imara kwasababu liliisha pitia majaribu mengi na likarekebisha Makosa.
Huwezi ukasema Kanisa Katoliki sio mpango wa Mungu....!Kanisa Katoliki ni mpango wa Mungu kupitia mwanadamu na kushibitisha hilo lingekuwa sio mpango wa Mungu lingeshafutika.Hitimisho lako linaashilia kuwa kanisa katoliki sio kazi ya Mungu. Ni kazi ya binadamu. Kwa sababu kazi ya Mungu haina makosa wala majaribu. Na hakuna kurekebisha.
Na kwa mtaji huu hata makanisa au dini nyingine, zitapitia majaribu na baadaye kujirekebisha na kuwa imara.
mnanishangaza sana na kunistua kwa kweli, hivo vitabu mnavodai vilipunguzwa mara viliongezwa (yani kama vipimo vya mchele), si vyote mnadai viliandikwa na manabii na mitume wa Mungu au?
sasa huko kupunguza mara kupunguzwa ni kwambo hao waliandika kwa msaada wa Mungu(according to christians) walikosea au vipi?
Naona mnataka mniaminishe kuwa biblia ni mchakato wa binadam flan waliokuwa na mpango wa kupga dili tu na kuzishika brain zetu aisee.....!
Kwani Kanisa linaabudu sanamu...!sanamu ni ishara/kielelezo kuwakumbusha kwamba bwana watu Yesu Kristo aliwambwa msalabani yani ni kama kumbukumbu flani,hata kama imewekwa kanisani sio kwamba inaabudiwa hapana anayeabudiwa pale ni Mungu kwa njia ya msalaba wa mwanae Yesu Kristo kwani ule ndio ulikuwa ukombozi wa mwanadamu,cjui kama utanielewa kwa MTU mwenye mafundisho ya kisabato ni pagumu sana.Kutoka 20: 4-6. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. (5)Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
(6) nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Kusujudia sanamu hiyo ndiyo ibada ya sanamu, Mungu amekataza, upo hapo?
Kwenye hiyo amri kuna makatazo ya aina mbili:.Kwani Kanisa linaabudu sanamu...!sanamu ni ishara/kielelezo kuwakumbusha kwamba bwana watu Yesu Kristo aliwambwa msalabani yani ni kama kumbukumbu flani,hata kama imewekwa kanisani sio kwamba inaabudiwa hapana anayeabudiwa pale ni Mungu kwa njia ya msalaba wa mwanae Yesu Kristo kwani ule ndio ulikuwa ukombozi wa mwanadamu,cjui kama utanielewa kwa MTU mwenye mafundisho ya kisabato ni pagumu sana.
Kutengeneza ni kitu kimoja na kuabudu ni kitu kingine...Duh! kweli walimu wako walikuwa na kazi...sasa unakataa nini na unakubali nini? Neno la Mungu liko wazi, ibada ya sanamu yaani kutengeneza sanamu ya kitu chochote hata ukipe jina gani zuri
Kwani ibada ni nini...??, hiyo ni ibada ya sanamu na imekatazwa
Maelfu na maelfu ni wakina nani...? Hiyo amri ni kwa Waebrania...Unaishika wewe ni muebrania kwani...?period. Na hapa Mungu alikuwa hawambii waebrania peke yao, bali maelfu na maelfu wampendao Mungu. Neno la Mungu halina ukomo wa muda.
Hebu ni jibu, nani alimpa unabii Ellen G White..?Matusi ya yule muovu na wafuasi wake kwani matusi ni dhambi
Ellen G White alushaomba msamaha kwa mauaji aliyofanya...?Hivi unatambua kuwa Papa Yohana Paulo II aliomba radhi kwa wayahudi na watu wote walioteswa na kuuawa na kanisa katoliki? ikiwa kanisa katoliki ndilo lililopigwa mawe ilikuwaje papa aombe radhi kutokana na kanisa hilohilo kumwaga damu isiyo na hatia?
Niambie hiyo picha (back Ground pic ) Wakati Rais wa Kanisa la SDA amekuja Tz hapo ni uwanja wa Taifa ni picha ya nani....?Kwenye hiyo amri kuna makatazo ya aina mbili:.
1.usijifanyie sanamu ya kuchonga mfano wa kitu chochote,juu mbinguni,duniani,ndani ya maji wala chini ya ardhi.
.usifisujudie wala kuvitumikia.
biblia yenu maana yake nini?Kwa hio biblia yenu mtu akiamua kupunguza mistari anapunguza, tu bila ya hofu
Akiamua kuongeZA mistari anaongeza, tu bila hofu
Hizi dini zingine bwana
Lakini wacha, tuachie wenyewe tuone watakavyo shambulia mtoa mada, badala ya kujibu ada hisika
Shule ukiisoma vizuri kitu kitamu sana. Nimetumia implication kimuonyesha cheichei kuwa ukisema kanisa lilijirekebisha kuondoa makosa unaondoa kazi ya Mungu na kazi ya binadamu. Huwezi kuwa divine na baadaye unaanza kufanya mabadiliko hili uende na wakati.Huwezi ukasema Kanisa Katoliki sio mpango wa Mungu....!Kanisa Katoliki ni mpango wa Mungu kupitia mwanadamu na kushibitisha hilo lingekuwa sio mpango wa Mungu lingeshafutika.
Vingi vingapi..? Hebu vitaje..? Kanisa Katoliki halijawai kubadilika ni lile lile toka kipindi cha PetroVitu vingi vya Luther ambavyo vilipingwa, wakatoliki wamevikubali baadaye
oriental churches nazo zimedumu kwa muda mrefu.
Martin Luther ni padre pekee aliyepewa maona ya kulikomboa kanisa na alioneshwa uhalisia wa kanisa linavyoasi. Soma vitabu vingi vya historia ya kanisa utamjua vizuri. Kuwa padre huyu alipewa kipawa cha ajabuKWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.
Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.
Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na Cha Danieli.
Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi WA kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.
Na ndio maana Leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi WA Mungu hasa HAWA WA kileo wasiojua nhistoria vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.
Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.
Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati WA ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.
Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo WA majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.
Nimengi ya kujifunza sana Leo hii lakini kwa Leo naishia hapa.
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
Kulikomboa kanisa gani...? Lutheran Church limebaki Africa tuu....Ujerumani ni kama limekufa tayari, Sweden watu hata hajui kanisa nini..Martin Luther ni padre pekee aliyepewa maona ya kulikomboa kanisa na alioneshwa uhalisia wa kanisa linavyoasi.