Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
Hii Thread nimewashirikisha Wasabato wengi wanaonekana kukata tamaa....Ni kama kanisa lao linawa-confuse
Kaka Biblia iko wazi sana, kinachowachanganya hawa ni
mapokeo ya Bibi Ellen,
Kujikita kwenye vitabu vya kiunabii kumtafuta Papa na Kanisa Katoliki,
kujifanya wayahudi,
na kuchimba Historia isiyokuwepo/ ya uongo
Mwisho wa siku wanaishia kuwa na tafsiri na mafundisho yasiyofuata mising ya Ukristo na wanaingia hapo kwenye confusion,
Wengi wa Wasabato hawajui kabisa historia ya Kanisa lao, Hawamjui kabisa Bibi Heleni, sasa hapa wanakataa Sanamu/Picha wengine wanakubali
Kaka Kitaja , Biblia iko wazi kabisa, mwandishi wa Ufunuo anaelezea kwa wazi kabisa shida waliyokuwa wanaipata wayahudi chini ya utawala wa NERO (666)
Biblia ipo wazi kabisa kuhusu ibada ya sanamu