MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Hii Thread nimewashirikisha Wasabato wengi wanaonekana kukata tamaa....Ni kama kanisa lao linawa-confuse

Kaka Biblia iko wazi sana, kinachowachanganya hawa ni
mapokeo ya Bibi Ellen,
Kujikita kwenye vitabu vya kiunabii kumtafuta Papa na Kanisa Katoliki,
kujifanya wayahudi,
na kuchimba Historia isiyokuwepo/ ya uongo

Mwisho wa siku wanaishia kuwa na tafsiri na mafundisho yasiyofuata mising ya Ukristo na wanaingia hapo kwenye confusion,

Wengi wa Wasabato hawajui kabisa historia ya Kanisa lao, Hawamjui kabisa Bibi Heleni, sasa hapa wanakataa Sanamu/Picha wengine wanakubali

Kaka Kitaja , Biblia iko wazi kabisa, mwandishi wa Ufunuo anaelezea kwa wazi kabisa shida waliyokuwa wanaipata wayahudi chini ya utawala wa NERO (666)

Biblia ipo wazi kabisa kuhusu ibada ya sanamu
 
Wengi wa Wasabato hawajui kabisa historia ya Kanisa lao, Hawamjui kabisa Bibi Heleni, sasa hapa wanakataa Sanamu/Picha wengine
Kwenye mambo ya kivita huwa tunasema "Battle Confusion"

Yani badala ya kumpiga adui mnajikuta nyie nyie mnafarakana, yani mish mash...Matokeo yake mnashindwa vita..

Hawa Wasabato wanajikuta Wanapoteza muda na Kanisa Katoliki, wanasahau kutengeneza kwao, siku wakija kustuka kuwa wanachopigana nacho, wenzao walishashindwa karne karne, ndio huko kwenye Battle confusion wanaangukia..
 
Wameshindwa kabisa kumwelewa Bwana wa Sabato, yeye ndio mwenye Sheria (Torati), Yeye ndiye aliyezitunga na yeye ndio anajua azibadirishe vipi

Bwana wa Sabato alikuja kuzitoa Sheria Kimwili na kuzipeleka Kiroho, na mtume Paulo alilielewa vizuri sana lengo la na elimu ya Bwana wa Sabato na ndio Mtume Paulo anaielezea vizuri sana Ibada ya Sanamu
Efeso 5:5
Kolosai
3:5
 
Naomba nikuulize tena...a

Kwa hiyo ni Ruksa kutumia Picha na Sanamu ila tunatakiwa tusiviabudu sio..??

jiwe la majiwe njoo uone huku.
Bahati nzuri unatambua kuwa kuna picha na sanamu, safi sana sasa unaaza kuelewa.kilichokatazwa ni sanamu.usitengeneze wala usivisujudie.
 
[QUOTE="Kituko, post

Kaka Kitaja , Biblia iko wazi kabisa, mwandishi wa Ufunuo anaelezea kwa wazi kabisa shida waliyokuwa wanaipata wayahudi chini ya utawala wa NERO (666)

Biblia ipo wazi kabisa kuhusu ibada ya sanamu[/QUOTE]

Tuondoleeni hadithi za Nero hapa. Kinachoongelewa katika ufunuo 13:17-18 Ni mamlaka ya kidini yenye nguvu za kisiasa pia. Hapa kuna mamlaka inalazimisha watu waisujudie sanamu ya mnyama na atakayekataa atauawa, hivyo kinachozungumziwa hapa ni ibada ya uongo dhidi ya ibada ya kweli.Mfalme Nero anajulikana kuwa alikuqa mpagani hakuwa na mamlaka ya kidini. Na pia andiko hili halilengi mtu "individual" bali mamlaka.Hivyo mnyama anayezungumziwa hapa ni mamlaka ya upapa kwani ina nguvu za kidini na kiserikali pia na pia ni utawala unaodumu hadi wakati Yesu arudipo.Hiyo 666 ni VICARIUS FILII DEI cheo anachotumia Papa. Huyo Nero alishakufa siku nyingi na utawala wake ulishakufa siku nyingi.acheni kupotosha
 
Bahati nzuri unatambua kuwa kuna picha na sanamu, safi sana sasa unaaza kuelewa.kilichokatazwa ni sanamu.usitengeneze wala usivisujudie.

Nipe tofauti kati ya Sanamu na picha...?

Maana mpaka utengeneze sanamu lazima uwe na picha ya kitu unachotengeneza..

Hapo kwenye Red! Hebu tueleweshane....Maana kuna makatazo mawili kwa mujibu wa kikundi cha kisabato

1. Usitengeneze/usijifanyie(picha)
2. Usiviabudu

Hebu nieleweshe...Hiyo amri ni wapi imesema ujifanyie picha kwa ajili ya kufundishia.....

Tuijadili huo mstari wa kutoka 20 kinaga ubaga..

NB🙁Kibao kimegeuka, Mkatoliki kawa Msabato na Msabato kawa Mkatoliki)
 
[QUOTE="Kituko, post

Kaka Kitaja , Biblia iko wazi kabisa, mwandishi wa Ufunuo anaelezea kwa wazi kabisa shida waliyokuwa wanaipata wayahudi chini ya utawala wa NERO (666)

Biblia ipo wazi kabisa kuhusu ibada ya sanamu

Tuondoleeni hadithi za Nero hapa. Kinachoongelewa katika ufunuo 13:17-18 Ni mamlaka ya kidini yenye nguvu za kisiasa pia. Hapa kuna mamlaka inalazimisha watu waisujudie sanamu ya mnyama na atakayekataa atauawa, hivyo kinachozungumziwa hapa ni ibada ya uongo dhidi ya ibada ya kweli.Mfalme Nero anajulikana kuwa alikuqa mpagani hakuwa na mamlaka ya kidini. Na pia andiko hili halilengi mtu "individual" bali mamlaka.Hivyo mnyama anayezungumziwa hapa ni mamlaka ya upapa kwani ina nguvu za kidini na kiserikali pia na pia ni utawala unaodumu hadi wakati Yesu arudipo.Hiyo 666 ni VICARIUS FILII DEI cheo anachotumia Papa. Huyo Nero alishakufa siku nyingi na utawala wake ulishakufa siku nyingi.acheni kupotosha[/QUOTE]

Kaka wewe unasoma Biblia au Lesson?, hebu iandike hapa hiyo Ufunuo:17-18 tuichambue, na kwambia uiandike wewe ili usije sema mi mimeleta andiko silo, naomba uiandika hapa hizo haya
 
Yesu alisema; mmepewa bure toeni bure, sasa why mnauza hati ya msamaha! Why mnauza vitambaa vya upako?
 
Yesu alisema; mmepewa bure toeni bure, sasa why mnauza hati ya msamaha! Why mnauza vitambaa vya upako?
Msaidie ndugu yako Msabato kitaja...Amesema Ni ruksa kutumia Picha na Sanamu kwa kufundishia....Nimemuambia anipe andiko linalosema picha zitumike ila kwa kufundishia
 
Kathoric mmeshindwa kusibitisha kimaandiko.wapi mama mtukufu mariamu kapewa mamlaka ya kibiblia kuwaombea watu na ilihali yeye ni mufu..hakuna andiko lolote kwenye biblia linalotowa luhusa ya wafu kuwaombea walio hai..huu ndio ukweli unaotakiwa watu kuelezwa na kusikilizwa..eeehee ndiyo
 
Mkuu ww n kimeo.. Mwalim wako alikua ana kaz sana
 
Swala la mamlaka.... dhehebu la kathorici haliwezi kukwepa utabili wakitabu cha ufunuo kwasababu viashilia vingi vilivyiomo ndani ya kitabu cha ufunuo tunauona ndani yakanisa hili .. Kuwauwa mitume wa yesu pia na wakiristo wa mwanzo wa kipindi hicho kuukandamiza ukiristo pia hayo yote yitekelezwa naHawa Rc ..hawa Rc wasasa kwakipindi hicho walifahamika kama dora la kiroma ..tunamengi ya kusema kuusu kathoric pamoja na hawa jamaa wanao jiita wasabato hawa watu walishilikiana kuakikisha ukiristo unapotea kabisa.. Lkn Mungu muacheni aitwe Mungu
 
Kathoric mmeshindwa kusibitisha kimaandiko.wapi mama mtukufu mariamu kapewa mamlaka ya kibiblia kuwaombea watu na ilihali yeye ni mufu..hakuna andiko lolote kwenye biblia linalotowa luhusa ya wafu kuwaombea walio hai..huu ndio ukweli unaotakiwa watu kuelezwa na kusikilizwa..eeehee ndiyo
Ok! Tumekuelewa..
 
Kaka mbona povu sana mpaka unashindwa kuandika vizuri?

Umeshapata copy yako ya Biblia mpya ya Kisabato? Ipakue hapa

Clear Word Exposed

Ni ajabu sana, Katoliki wamekaa na hiyo Biblia kwa zaidi ya miaka 2000 na hawakuthubutu kubadirisha hata nukta moja ya andiko lolote na walikuwa na uwezo wa kufanya hivyo, lakini walikuwa na hofu ya Mungu na katiak ukatoliki hata Papa hawezi ku temper na Bible,

Kaja Luther kaanza kutemper na bible mara sitaki Ufunuo mara Makabayo, mara Jakobo, mara rudisha ufunuo, uzuri wake yeye alikuwa na misingi ya Kikatoliki hivyo alitoa vitabu vizima vizima,

Cha ajabu hawa wasabato ambao hawana hata miaka 200, wameshaanza kuibadirisha Biblia, wanaweka maneno yatakayoendana na mafundisho ya uongo ya nabii wa Uongo Mpinga Kristo bibi Ellen,

Someni hiyo link hapo juu kuona hiyo Bibliamya Kisabato

Cc: Otorong'ong'o , jiwe la majiwe kandere , Kitaja , Ntuzu
 
Nipe tofauti kati ya Sanamu na picha...?

Maana mpaka utengeneze sanamu lazima uwe na picha ya kitu unachotengeneza..

Hapo kwenye Red! Hebu tueleweshane....Maana kuna makatazo mawili kwa mujibu wa kikundi cha kisabato

1. Usitengeneze/usijifanyie(picha)
2. Usiviabudu

Hebu nieleweshe...Hiyo amri ni wapi imesema ujifanyie picha kwa ajili ya kufundishia.....

Tuijadili huo mstari wa kutoka 20 kinaga ubaga..

NB🙁Kibao kimegeuka, Mkatoliki kawa Msabato na Msabato kawa Mkatoliki)
Ina ninyi mkiona picha yeyote tu mnajua ni sanamu? Tatizo lenu ibada ya sanamu imewajaa kichwani
 
Back
Top Bottom