MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Wote nyie humu ni watoto mnashirikiana kwenye mjadala huu.
Mnapigapiga tu ujinga mnaachia hivo hivo.
Nawapa kwa kifupi sana dose:

Vitabu vingine kwenye Biblia vilifutwa ajili ya kuweka wazi kuwa

wazungu wote wahindi, waarabu ni uzao wa Nephilim.

Biblia wazungu haiwahusu wala kuwataja kwa mema. Lkn ilionekana ili watawale vizuri biblia lazima iwaongoze! Wakajipachika uhusika.

Lkn hivyo vitabu 12 vilivyoondolewa vilidhihirisha chanzo chao cha asili kabisa kuwa si Mungu wa Ibrahim.isacka na yakobo.

Kifupi tu ni kwamba Wazungu ni uzao wa Nephilim haswaaa! Bila kuuma maneno na hili wamelificha miaka mingi sana.
Kitaalam wanaitwa Neandethals genetics.

Walifanikiwa sana kuitawala Dunia na mpaka. Leo wanaweza sana. Ila Mungu alikuwa anawaua wanajileta tena ki upya!
Tukirudi nyuma miaka 6000 hkn mzungu.
Wao wana Dna za mweusi. Na wale watu neandethals.wafrica wote hawana kwa nini?

Kwa nini mtu mnyonge na maskini yaani mwafrica achukiwe kiasi hicho tangu enzi japo wanamtawala lkn bado anachukiwa sana na weupe duniani?

Jibu nuru ya uumbaji wa Mungu inamuhukumu mtu mweupe sana dhidi ya weusi
Nguvu nyingi sana za kumaliza mweusi Duniani zimetumika ktk historia ya Dunia lkn ndo kwanzaa wanachipua upya km uyoga!

Mfano tz uhuru tulikuwa million 10. Leo miaka 50 tu tuko zaidi ya million 69 tumeipiku uingereza ambayo haikuwahi tawaliwa.wala kuathiriwa na utumwa.
Wana wasiwasi na sisi hao!!! Heee!!

Hayaa sasa wamekuja na ebora mara covid 19 imewatafuna wenyewe. Wameisha

jamani twendeni tukatawale ulaya. HAwana jinsi drs na manesi mswahili muda ndo huu nenda ukawe tajiri ulaya.wanaisha wale!wanaacha nyumba na magari

Hata hizo chanjo haziwasaidii saaana watakufa baada ya miaka 2

Huu ujinga wako uwe unasimulia huko vijiweni
 
...we jamaa bhana...hiyo idadi ya 69 million tumefika lini?.... anyway labda sensa ya mwaka huu itathibitisha.

Isitoshe Uingereza ina raia kama 67 million mwaka 2020 huenda hata hatujawapiku au kupishana sana.

Jamaa anahisi sisi maboga kama yeye. Unajisifu watu kuwa wengi na hata kujenga madarasa huwezi? Kwamba Uk hawawezi kuzaliana sio? Kuwa na watu wengi ni ujinga wa kale. Utaona nchi kama india na china wanavyoteswa na population
 
Hapana hiyo nakataa katakata!! huna uelewa !! na kweli umejipachika jina zuri ya kuwa weye ni boga tu! hasaaaa!! tena lililooza hata nguruwe hali!!......jamani kwani shuleni zenu za msingi mlifundishwa nini?

swali hili lili-rindima miaka kibao kwenye past papers za drs la saba ivi ''kma tukitaka kuendelea tunahitaji vitu vinne navyo ni? ''Watu'' ilikuwa ni mojawapo ya jibu lake ? sasa na uzee huu hukulijua hilo?? ulifaulu vipi wewe?? hukusoma au?...au .uli-fail mbaya!!

Madarasa yooote haya tuliojenga tena kwa hela yetu wanakijiji !! mashine za kusaga zetu wenyewe. matrekta tumenunua , tuna mashamaba makubwa, Hospitali tumejenga wenyewe, Sirikali ituletee tu madaktari, waalimu nk, tu baaasi!!

tena watumishi wa UMMA wakija kwenye vijiji vyetu hawatamaniga kutoka! vyakula vipo tele! Mfano Ni kilimnjaro Moshi, Arusha Mbeya yooote, Mara yooote, shinyanga, Ruvuma,nk yaani nikitaja utayamaba kifukuto

unasema hatuwezi kujenga sisi wabongo? mweee!! majengo haya yametoka wapi sasa? labda sehemu za kijinga jinga!! hapo Bongo ni Mtwra na Lindi na weye ni mmojawao hao!! jamaa ni wavivu kwisha kazi tanzania nzima akili hamna!

wamebakia kuwa chinga tu, wachuuzi wa mali za wanaume wenzao! ndo kazi pekee mnayoiweza, makabila safi na bora wakurya, wachaga, wasukkuma, wajita,wahaya wanyakyusa nk, wanaviwanda vya kuzalisha nyama za kuku, vyakula, mayai nk, vyao wenyewe Made in Tanzania.

Wahaya wao wamefika mbali zaidi wamebuni kitu rahisi mnooo!! wana viwanda vya kuzalisha naniliu.....wanazalisha Maku nzuri mnooo na mnato Tanzania nzima hkn,

mie nasema kweli na km ukibisha nenda Bukoba utalii uone wanavo jilisha matoke karibu na bure, hawaombi ombi lishe km chinga boy, tena uone walivyo na mijengo ya kufa mtu iliyoenda shule Bongo cha mtoto!

tena basi ni ya ke tupu!! vijijini kabisaa hukoooo Lukunyu, kyakairabo, nyamishenye , kashai ni utakaa chini nakwambia!!! barabara Hosp.nk! hawatanii wale!! watu km nyie ndo mnafanya tuna dharaulika!

sasa weye angalia tu hawa wamejenga miji yao kwa ubunifu wa papuchi tu!! usisahahu na mchame juu!!! heee!! hkn mfanyakazi wa sirikali aliyeomba kuhama huko!! wapo na huduma tele!

lkn nyie makonde mnajua kukatika na kuweka ndonya! tyuuu!! na kugombea mafuta!! ambayo nayo hamyajui chanzo chake sasa yameenda Msumbiji, mtakomaje??? Sasa mantamani kuoa/kuolewa uchagani! japo muishi.

mngekuwa wapole sirikali ijenge weee!! wakija wafanya kazi hapo si na nyie mnaneemeka?? wapikieni ma ntilie, wajengeeni nyumba nzuri wapange, watoto wao watasoma hapo wajengeeni shule nzuri,

watalala hapo wajengeeni Guest house na hotel nzuri km alivo fanya Membe,, aliiba akili ya kaskazini huyu sasa msivyokuwa na akili mnapigana na mfadhiri mkuu Sirikali mweee!! ndo maana Umesema kweli hata madarasa hakuna huko!!

ni ujinga unapinga mtaalamu wa Gas, wakati wewe hukusomea hiyo gas!! hela yakusomea huna mwee!! kachimbe wewe sasa wale wameondoka/ wame wasusa mazimaaa na hawataki tena, Msumbiji wamekaribishwa kwa heshima,

sasa wanachimba kutokea kwenye mkondo wenu mtaenda huko mikono nyuma kuomba japo vijikazi vya hovyo! km kuwa na watu wengi ni ujinga wa kale kwa nini hao wazungu wako wanatupunguza kwa magonjwa?...

kwa nini wanawapatia wake zenu family planning pills! ili wasizae? tena bureee!.....hata hamjiulizi swali dogo ivi??!!! na je kwa nini wao wazungu hawatumii!!.. wewe ni brain washed kabisaaa!! km savimbi!

Mungu alipo mwambia Abrahamu!! kuwa!! namnukuu ''uzao wako utakuwa km mchanga wa Bahari''' alikuwa hata nii!!!. hata upinge kwa machozi ya nyaa!! akisema Bwana yule ni amesema!!!!.

sisi tulio kizazi original cha aliye juu (Mungu) tunayajua haya!! kamwe hatutikisiki bin kudanganyika.......lkn kuna kizazi cha Nyoka kilichotokana na ''Cain'' hao hata upige ngoma nyekundu hawaelewi somo daima dumu!! na ni rahisi mno kuwajua!!

kila kinachotokana na MUNGU lazima wapinge tena bila hoja ya msingi yaani wanapinga tu km baba yao Shetani!! ....yeye shetani ali pinga tu... utawala wa Mungu bila sababu! mpaka leo yuko ivo

Jamani Shetani hajui anataka nini kwakweli!! .. na watoto wake ivoivo! ...Kuzimu yupo, Duniani yupo!! ....yaani anatangatanga huku na huko Bwana yule akidanganya watu!...na Mungu kamwe hamuwezi!

lkn yupo tuuuu anapinga mpaka leo!! tuna muonya kila siku weee shetani wewe!! acha mziki huu ni mnene!! linapinga tu! na humu duniani pia ivo ivo kuna kizazi cha nyoka na kizazi cha aliye juu!
 
lkn yupo tuuuu anapinga mpaka leo!! tuna muonya kila siku weee shetani wewe!! acha mziki huu ni mnene!! linapinga tu! na humu duniani pia ivo ivo kuna kizazi cha nyoka na kizazi cha aliy
aisee kwa niaba ya wamakonde wote tunashukuru Sana kwa matusi,,kebehi,,kejeli na dharau,,,wewe uliyechagua kuzaliwa kabila Safi na Bora hakika ulichagua Jambo sahihi. barikiwa Sana kizazi original Cha aliye juu. sisi wengine sijui tutakua wageni wa nani wakati ukifika mtakapokua mnaingizwa peponi kwa kutumia wingi wa mali na makabila yenu Safi na Bora.
 
`

Heeee!! jamani!!! jamani!!.... jamani!!! thatha ukweli yamekuwa matusiii tena!!! mweee!!...Mtwara si mlikataa Gas? kwa sababu za kijima kabisa ya mnooo? na sasa iko Msumbiji?? kwani uongo? mtakomaje?.....tusi liko wapi hapo chacha chomooo!!

Yaaani kila sehemu nyie ni mihasira tyuuuu!! kinyongo na visununu sivyo isha!!....unatamaniupasue hiyo PC yako!! Looool chomo??? nendeni mkafanye Umachinga Kaskazini!!

Naliendere yote ile, MATC Nk hakuna Mmakonde pale!! wote wanatoka kaskazini. miaka ya nyuma huko!! MATC walikuwepo vijana wawili mmoja anaitwa Selemani Majini, Mmakonde huyu, na Maliamu Nabaranganya.

wote hawa walikataa kuajiiwa hapo!! sababu wanawajua mlivyo wajinga mmoja kaenda zake Dar!,,,na mwingine huyu Maliam yuko Bagamoyo! ameolewa na mtu wa Musoma kako njema kadada kale utadhani si Makonde!

Usjiulize mtakuwa wageni wa nani bana tamka Shetani bin Ibilisi kwisha!!! sasa mmeanza kupigika saa hivi!! mpaka Mungu aje mtakuwa mme koma hasa na mnastahili!....sikia bana nikusaidie ukitaa kwenda peponi achana na kusini OA /olewa kaskazini!!

Duniani koooote Kaskazini ndo penye Maendeleo!! South africa pameendelezwa na watu wa kaskazini hiyo ndo siri kubwaaaaaaa nakupa bure!!....hamia kaskazini uone!
 
`

Heeee!! jamani!!! jamani!!.... jamani!!! thatha ukweli yamekuwa matusiii tena!!! mweee!!...Mtwara si mlikataa Gas? kwa sababu za kijima kabisa ya mnooo? na sasa iko Msumbiji?? kwani uongo? mtakomaje?.....tusi liko wapi hapo chacha chomooo!!

Yaaani kila sehemu nyie ni mihasira tyuuuu!! kinyongo na visununu sivyo isha!!....unatamaniupasue hiyo PC yako!! Looool chomo??? nendeni mkafanye Umachinga Kaskazini!!

Naliendere yote ile, MATC Nk hakuna Mmakonde pale!! wote wanatoka kaskazini. miaka ya nyuma huko!! MATC walikuwepo vijana wawili mmoja anaitwa Selemani Majini, Mmakonde huyu, na Maliamu Nabaranganya.

wote hawa walikataa kuajiiwa hapo!! sababu wanawajua mlivyo wajinga mmoja kaenda zake Dar!,,,na mwingine huyu Maliam yuko Bagamoyo! ameolewa na mtu wa Musoma kako njema kadada kale utadhani si Makonde!

Usjiulize mtakuwa wageni wa nani bana tamka Shetani bin Ibilisi kwisha!!! sasa mmeanza kupigika saa hivi!! mpaka Mungu aje mtakuwa mme koma hasa na mnastahili!....sikia bana nikusaidie ukitaa kwenda peponi achana na kusini OA /olewa kaskazini!!

Duniani koooote Kaskazini ndo penye Maendeleo!! South africa pameendelezwa na watu wa kaskazini hiyo ndo siri kubwaaaaaaa nakupa bure!!....hamia kaskaz
kwani nimekukatalia Basi mkuu,,,ikiwa wewe umeshahukumu sisi Ni wa shetani iblisi isipokua selemani majini na maliamu nabaranganya sababu wameoa na kuolewa kaskazini Mimi ni Nani hata nipinge,, ,tumekubaliana kipimo Cha kua wa shetani na wa Mungu ni materialism/ worldly possession and tribalism,,,meanwhile wakati tunasubiri Mungu aje achukue kizazi chake original na shetani achukue kizazi chake fake,, turudi kwenye mada husika tusiharibu uzi. kwa niaba ya wajinga wenzangu maneno yako tutayafanyia kazi,, peace be upon you.
 
Mbona mie peace tu Mkuu!! kwanza kaskazini wote tutaenda mbinguni hilo liko wazi na nalikubali sana, kwa kuwa Mungu ametupatia talanta nayo tunaitumia vyema!! usikasirike!!! nyie yenu mlichimbia sasa nikuulize kwa nini mliichimbia??

Nikusahihishe kidogo Mkuu!! mie sijahukumu wala kutaja hukumu yeyote! .....ila nimesema Wa kusini ndo mlivyo, kuwa mmepoteza talanta adhimu Milki ya mafuta kizembe sana!! na mkaitoa kwa Msumbiji kijinga Tena halafu ajabu ya Musa mkashangilia weee!

wake kwa waume as if mnaikomoa kaskazini! km majuha!!! uongo mkuu?? na ukakubali mwenyewe!!kuwa ndo mlivyo fanya !.... weye hii ndo umetafsiri km hukumu kutoka kwangu!....kwa muktadha huo!! weye na nafsi yako ndo umenihukumu mie kuwa Hakimu!

Mmesha kuwa wapole sasa hata mfanyeje!! mmesha poteza msione aibu ndg yangu!! nendeni kaskazini muajiliwe upyaaa!! hawana noma wale! ila acheni ukabila na umimi ili muishi kule! ndg yangu wambie na wenzio!! hamna ujanja tena mmeshapoteza!

Mnalia maumivu sasa tutawasaidiaje?? eti Mfuta kwanza MWeeee!! achimbe nani ule weye!! ALmas dhahabu, Nuclear, jeshi imala na hatari Duniani .... mlisahahu kuwa haviko kaskazini? wanao wapa jeuri ....sawa bana.. semeni tena gas kwanzaaaa ...........mmekuwa wapoleeeeeeeeeeeeeeeeeeee!! msirudie tena unasikia!!
 
umesikika loud and clear,,,labda Kama una nyongeza Kisha turudi kwenye mada husika.
 
Nyongeza yangu ni kuwa....

kina Somoye walee paleee! bado wanaishi.....nShangani karibu na kwa nkuu wa nkoa??? ntapitia chafari hii bwana wewe!!!..... unachikia!...chamaki nchanga, ,uchichahau na Ming'oko plus nkwijuu kwa mbaaali kutaka mie!nsushie baaa!! amaaa!!!

ukikamtwa chomo uchiteme wala uchimejee. ndo njanja ya mujini hiyo somo!! baaa!! uchi mung'unye mung'unye! bwana wewee nkwani huiliwi!!! chacha mie kuenda zangu kuleee!! mahurunga chawa!!!! nijibu baaasi!!

nikushaui chomo uache miachira mibaya,
 
nikushaui chomo uache miachira miba
noted,,keep doing what you do,, you are great at it.
 
View attachment 1371369
PICHA: Padri Martin Luther
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa Katoliki wakati wake, yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.

Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya mtu. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo wa sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.

Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na cha Danieli.

Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi wa kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafuta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.

Na ndio maana leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi wa Mungu hasa hawa wa kileo wasiojua historia vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.

Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.

Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati wa ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.

Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo wa majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.

Nimengi sana ya kujifunza lakini kwa Leo naishia hapa.

ZAIDI TAZAMA HAPA

deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.

MAONI YA WADAU

-------------

-------------

-------------

-------------

-------------

-------------

--------------

--------------

--------------

-------------

du mkuu hapa umepindua meza...
1. kama unatambua vizuri historia ya kanisa la katoliki ungetambua malengo ya kujitenga yalikuwa muhimu. Yaani mambo mengi - kwa mfano kuna wakati kanisa lilipiga marufuku muumini kuwa na biblia...
2. kanisa la katoliki ni tajiri sana dunia nzima - utasemaje malengo ya Luther yalikuwa biashara? unajua moja ya ishu yake ilikuwa kupinga kanisa kulazimisha malipo mengi toka kwa wananchi? yaani hata sheria ya kuzikwa maeneo ya kanisa yalianzishwa nao kama biashara ya lazima.

Sasa cha kusikitisha duniani leo - ni kwamba waliojitenga 'kwa sababu nzuri' wamerudishwa kundini kule kule walikojitenga. Tafakari - kwa mfano, walipojitenga walirudi kusali siku ya jumamosi (Sabato) - sasa waLutheri na wapinzani wenzao wamerudishwa kusali jumapili, na wanafuata yale yale ya kanisa walikojitenga... Niaje
 
Luther ni kibri tu kilimjaa kama kilichomuondoa Lucifer peponi.
 
Hapa mimi ndipo ninapochoka, sasa kwanini husemi kwa ushahidi, kuwa kifungu gani na wapi umepata hayo,
au ndio umeimbishwa tu? .
Gomvu:

Ndugu, ni maandiko tu yaliokupa uhakika wote huo ulio nao au una chanzo kingine cha taarifa? Maandiko hayo kwa baadhi ya tamaduni za kiafrika na kiyahudi ni tata na sidhani kwa mtu anayetumia vema akili zake anaweza kuchukua uamuzi mzito.

Bikira Maria amechaguliwa na Mungu kama daraja ili Mkombozi amechaguliwa na Mungu kama daraja ili mkombozi atufikie sisi, na sisi tumfikie Mkombozi. Kwa sababu ya kumleta Yesu anaitwa Mama wa Mungu (Lk 1:43) na kwa sababu hiyo tunamwita mama yetu. (Yn 19:26)

Hii ni mifano michache saana na mengine ushike biblia usome ikiwa ni pamoja kufanya tafiti zako binafsi.
 
Kwa ufupi Biblia imegawanyika katika makundi mawili yaani Agano la Kale na Agano Jipya.
Agano la Kale liliandika kw Kiebrania na ndilomwanatumia Wayahudi mpaka leo. Ndilo lenye vitabu hivyo 39 ingawa mpangilio unaweza kuwa tovuti a huumwa unaotumimna Wakristo wa Kiprotestanti. Hivyo vitabu vya vilivyoogezwa n kanisa la Roman Catholic vikiongezeka baadaye sana, na havikubaliki n sio Martin Luther tu na wale wote wanaojua historian ya kanisa. Waebrania wenye asili ya Agano la Kale hawana hivyo vitabu, iweje Wakatoliki wakawa na vitabu hivyo? Kwa ufupi soma historia ya kanisa badala kurukia mambo kwa kusikia tu.
 
Maria ni Mtakatifu kama Watakatifu wengine...Na Watakatifu wana kazi ya kutuombea....Wao ni Kanisa Shindi huko mbinguni..

Soma Ufunuo 5:8 uone maombi ya Watakatifu na Wale wazee 24 mbele ya Kiti cha Mwana Kondoo..
Halafu waafrika tukiomba bibi zetu au babu zetu watuombee tunaitwa washirikina. Kazi kweli
 
Wakuu mbona mnabishanana sana wakati wazungu walioleta dini/ madhehebu hayo wakila bata na kupiga hatua za maendeleo kila kukicha?, cha msingi Naona kila mtu abaki na iman yake kukosoana na kutokwa na mapovu namna hii utadhan tulikuwepo wakati biblia inaandikwa hakuna maana. Kila mmoja asidharau iman ya mingine na hakuna aliye bora kuliko mwenzake as long as wote mmeumbwa kwa mf na sura ya Mungu
Tuko busy kubishania dini hasa hizi dini mbili za kiislam na kikiristo. Utadhani kuna kati ya yeyote aliyeshukiwa na Mungu na kuambiwa unachoabudu na kuamini ni cha kweli. Kumbe tumekuwa kwenye hizi dini by default. Kila mtu aamini anachokiona ni sawa, na kuheshimu imani za watu wengine.
 
Back
Top Bottom