Habari wana jamvi!Baadhi yetu nadhani tumeshawahi kuhudhuria ama kuangalia kwenye tv matangazo ya ibada mbalimbali za makanisa ya wokovu;Tumekua tukiona watu wakiombewa na kutolewa mapepo na miujiza mingine!Kwa upande wangu,kutokana na uzoefu nilionao,watu ambao huwa wanaombewa na kuanguka mara NYINGI ni wenzetu wa kike,pia nilishaambiwa na mtumishi kuwa hawa wasichana tunaozini nao(Kama hujaoa ama kuolewa na unashiriki ngono kabla ya ndoa,wewe ni mzinifu) huwa wana mapepo kwa hiyo mkijiunganisha yanakuingia!Je,na wewe umeshawahi kusikia habari hii?Na kuna ukweli wowote?
***Nakuomba kama huna cha kuchangia bora ukae pembeni kuliko kuleta lugha za maudhi!***