MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Nadhani wanaokwenda kwenye makanisa ambayo mwanzisha mada ameyataja wengi wao ni wale wenye stress za maisha ambao wengi wao ni wanawake.
Hakuna cha mapepo wala nini, tatizoni stress tu.

umeongea shot kweli.
 
Habari wana jamvi!Baadhi yetu nadhani tumeshawahi kuhudhuria ama kuangalia kwenye tv matangazo ya ibada mbalimbali za makanisa ya wokovu;Tumekua tukiona watu wakiombewa na kutolewa mapepo na miujiza mingine!Kwa upande wangu,kutokana na uzoefu nilionao,watu ambao huwa wanaombewa na kuanguka mara NYINGI ni wenzetu wa kike,pia nilishaambiwa na mtumishi kuwa hawa wasichana tunaozini nao(Kama hujaoa ama kuolewa na unashiriki ngono kabla ya ndoa,wewe ni mzinifu) huwa wana mapepo kwa hiyo mkijiunganisha yanakuingia!Je,na wewe umeshawahi kusikia habari hii?Na kuna ukweli wowote?

***Nakuomba kama huna cha kuchangia bora ukae pembeni kuliko kuleta lugha za maudhi!***
 
"wanaokula kitimoto nawajchua,wanaokula kuku moshi nawajchua,wanaotafuta mabwana jf nawajchua....wana pepo mchafu....peeeepooooo toooookaaaaaaaa!!!!!!"......Rev Mch Matumbo akikemea mapepo na mishindo yooote.
 
It is just a psychological thing,hakuna cha pepo wala nini.
 
Wengine wao (wanawake) hua wanasumbuliwa na N*yege tu!
Wakishanyeguliwa hupona fasta.
 
ndiyo mkuu tena nilisikia hlo kwa BG Malisa
 
wanawake wanasumbuliwa zaidi na mapepo/mashetani/majini zaidi kuliko wanaume kwa sababu zifuatazo, wanawake wengi huamka asubuhi mapema na kwenda eidha majalalani kutupa taka n.k huko ndio makazi ya mapepo, pili dada zetu wabishi wanatakiwa wakiwa katika siku zao wajitunze sana wasizurure zurure ovyo hiyo husababisha kuingiliwa na mapepo kwa sababu wengi wa mapepo hupenda sana mwanamke akiwa katika hali hiyo,then wanawake wakijifungua siku hizi hawakai ndani siku 40, wanaona ni ujinga mtupu kumbe sababu kubwa ni kuwahifadhi na mambo ya kisheitani sababu huwa anavuja maji flan yanaitwa (nifaswi) nayo majini flan na mashetani husikia burdan sana ninajua sababu nyingi sana lakini kwa leo nisiwachosheni. ila ni kweli women are the most affected than men
 

Ukipata muda mwingine,naomba tuongezee kaka...
 
Naomba kuuliza hiki kitu, hii miaka ya sasa hivi kalibu kila mwanamke iwe mashuleni, vyuoni,makazini na hata sehemu za biashara wanasumbuliwa na haya matatizo ni kwa nini?
 
Naomba kuuliza hiki kitu, hii miaka ya sasa hivi kalibu kila mwanamke iwe mashuleni, vyuoni,makazini na hata sehemu za biashara wanasumbuliwa na haya matatizo ni kwa nini?

Labda wakichina hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…