DC acha kukimbia mwaga mapointi yako ya kiutu uzima ila mziki wenyewe mgumu
Mimi sijakataa ushahidi wa kiimani. Hakuna hata sehemu moja nilokataa
Ninachokataa ni mdomo mtupu, watu kusingizia dini zinasema bila ya kutupa ushahidi.
Gimme ushahidi wa kiimani and I will be satisfied even if I might still not believe it.
I want to understand the grounds behind the notion that all women have demons.
Hapo naanza kuulewa mjadala!!
kwa iyo dark-city kwa hiyo unataka kusemaje?...:
kwamba wanawake kwa asili ni mapepo?...majini?...mashetani?...
halaf kwa nin wana 'hofu kubwa' ya mwenyezi mungu?
Hujajibu suali. Kama mkeo akiumwa na tumbo au akitokwa damu kwa muda mrefu hutampeleka hospitali utampeleka kanisani kuombewa?
Wanawake ni wachamungu kwa sababu wana mapepo?
DC
Sikujua ka'a Kiswahili kinakupa tabu, shurti Kiingereza!
nitamfanyia maombi kama muda wa ukomo utapitiliza
kwa iyo dark-city kwa hiyo unataka kusemaje?...:
kwamba wanawake kwa asili ni mapepo?...majini?...mashetani?...
halaf kwa nin wana 'hofu kubwa' ya mwenyezi mungu?
Fafanua tafadhali
Kuna muda wa ukomo wa maombi? au umekusudiaje?
Bro,
DC hajawahi kuwa na msemaji wa ikulu yake au popote anapokuwa!!
Wewe leo una lako jambo...Lieleze ili tuchangie wakati tukijua yalokusibu!!
Hujambo lakini?
hedhi maombi haya ukomo mkuu ni chakula ya daily
ha ha ha ha!...daak site bana.....nguvu za giza zipo tu...unataka au hutaki...na ndo maana upande wa pili wa shilingi tunaamini uwepo wa mungu...ni ukweli mchungu lakini no way....lazima tuukubaliKwa muktadha wetu ule nadhani hizo blue hazina neno kwa upande wako au??Hapo red....Naamini hutakubali hata kwa kuimbiwa pambio continuously for 72 hrs!!Mtazamo wangu kwenye majini na mapepo haupo kabisa......Nasikiaga tu kwamba hivyo vitu vipoa.Sidhani kama nitajitendea haki kuvijadili!Babu DC!
ha ha ha ha!...daak site bana.....nguvu za giza zipo tu...unataka au hutaki...na ndo maana upande wa pili wa shilingi tunaamini uwepo wa mungu...ni ukweli mchungu lakini no way....lazima tuukubali
kwa iyo gaijin unataka kusemaje sasa....?
kwamba unabisha mpaka utakapopata ushahidi sivyo?...
Nabisha outright kuwa wanawake wote wanamapepo
Nabisha kuwa wanawake wengi wana mapepo kuliko wanaume hadi walau nipate kithibitisho cha maandiko ya dini.