MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Teamo,

Usihofu, una point nzuri.
1. Ni kweli wanawake ndio wanaandamwa zaidi na madudu haya kwenye ulimwengu wa kiroho.
2. Wanaume nao wanaandamwa kwa kiasi lakini siyo zaidi kama wanawake.
3. Ukitaka kuharibu jamii, familia basi mlenge mwanamke na ndicho majini, mashetani, na mizimu/pepo hufanya.

Wanawake katika jamii ndio hutegemewa katika malezi na kuijenga jamii na kuendeleza vizazi.Ukiwaharibu wao basi umeharibu jamii au taifa liwe la nchi au taifa la Mungu.
 
Kwa hiyo caveat mwishoni ("....kwenye ulimwengu wa kiroho") sidhani kama kunaweza kuwa na jibu objective!

Juu ya hivyo ningependa kupata mwanga; yeye alitumia vigezo gani kufikia huko?

*It will be interesting to see how other people get to their conclusions
 
Hili umelitambuaje?

Utaona nime qualify na kusema kwenye "ulimwengu wa kiroho"...kwa wanaoamini, kuanzia mwanadamu anaumbwa - Hawa/Eva alifuatwa na kushawishiwa na shetani.Kwenye biblia, maandiko yanayohusu kutolewa pepo, wengi waliotolewa pepo ni wanawake.Kwenye maombezi na kutolewa pepo, wanaotlewa wengi ni wanawake.

Ukija kisayansi - wenye kupata hizo mnazosema "schizophrenia" hasa mashuleni ni wasichana ( japo sitapenda sana kuongelea sayansi ya hili jambo maana mapepo/majini/mizimu/mashetani huwezi kuyaelezea kisayansi japo kuna ghost busters wenye kutumia electro-magnetic forces kudetect)
 
Kwa hiyo caveat mwishoni ("....kwenye ulimwengu wa kiroho") sidhani kama kunaweza kuwa na jibu objective!

Asante sana kuliona hilo!

Juu ya hivyo ningependa kupata mwanga; yeye alitumia vigezo gani kufikia huko?

*It will be interesting to see how other people get to their conclusions

Nadhani umesoma maelezo yangu kwenye post yangu ya mwisho hapo juu. Ni vigumu kukupa maelezo ya kisayansi au hata kukuridhisha kiimani kama imani zetu ni tofauti.
Yes my conclusion is arrived at through studying some faith-based trends .
 
Lakini sababu ya kua eti wanawake ndo wanapata hili tatizo kisa wanaenda sana kwa sangoma nalikataa.Ni wanaume wangapi wanaenda kwa sangoma ili wapandishwe cheo?Hakika ni wengi!Kuna jambo jingine hapa!
 
h
Hapa twende kidogo kidogo. Maandiko ya waliotolewa mapepo kwenye Biblia mbona yanayohusu wanaume ni mengi zaidi?

Kama ni kwenda mdogomdogo basi tuanzie mwanzo kabisa from the bible sawa?
1. Eve alishawishiwa na shetani akala tunda na kumgawia Adam - huu ulikuwa muingiliano wa kwanza kabisa kati ya shetani na binadamu
2. Muingiliano wa pili mkubwa utauona ukisoma genesis ( Kitabu cha mwanzo) sura ya 6:mstari wa 1 tunaona mashetani walivyofanya kazi kubwa zaidi. Kama una idea ya bible utakuwa unajua kuwa wale malaika walioasi walifukuzwa mbinguni katika vita kuu na kutupwa. I will quote in extenso:

GENESIS 6:1 When men began to increase in number on the earth and daughters were born to them, 2 the sons of God saw that the daughters of men were beautiful, and they married any of them they chose. . . . 4 The Nephilim were on the earth in those days – and also afterward – when the sons of God went to the daughters of men and had children by them. They were the heroes of old, men of renown. (NIV)

After the angels sinned by marrying human women, they bore them gigantic hybrid children. The Bible calls these offspring nephilim, the "mighty men of old, warriors of renown" (Gen. 6:4). When they appear again later in the Scriptures, they are called by a variety of names, including Rephaim, Zumim, Emim and Horites (Gen. 14:5), Anakim (Deu. 2:11), Zamzummim (Deu. 2:20), and Avim (Deu. 2:23)........

Also read ENOCH 7(1) And all the others together with them took unto themselves wives, and each chose for himself one, and they began to go in unto them and to defile themselves with them . . . And they (3) became pregnant, and they bare great giants, whose height was three thousand ells: Who consumed (4) all the acquisitions of men. And when men could no longer sustain them, the giants turned against (5) them and devoured mankind. And they began to sin against birds, and beasts, and reptiles, and fish, and to devour one another's flesh, and drink the blood. Then the earth laid accusation against the lawless ones...............

Nitarudi tena...
 
W.O.S tisha mbaya arif...!

naona wazi kabisa umenielewa nilichokuwa nakifikiria kwa muda mrefu mpaka nikaandika hili bandiko.....!
 
WOS

Ninakusubiri ........hadi sasa bado jawabu halijatoka
Tuendelee.... huo mfano kutoka genesis unaonyesha ni kwa jinsi gani evils spirits waliwaingia wanawake na kuwezesha kutapakaza uovu duniani.

Haya tukija kwenye matukio ya kutoa pepo wachafu ( demons/evil spirits) kwanza nitakiri kuwa ni vigumu kuwa na takwimu sahihi/halisi zilizochambuliwa kijinsia kuonyesha kati ya hao ni wangapi wanawake na wangapi wanaume.Pia accounts za kwenye bible zinatumia "gender blind' language kwa kutumia maneno "watu/persons" na maa chache kutaja kama ni mwanamke au mwanaume.Nitakupa mifano michache:
In the bible we read that Jesus drove out demons from "persons" believing these to be the entities responsible for those persons mental and physical illnesses.
Mathew 4:23-25 Demon-possessed persons are healed by Jesus (see also Luke 6:17)-

Mathew 8:14-17: Jesus healed many demon-possessed

Mathew 8:28-34 Jesus sent a herd of demons from two men into a herd of pigs ("about two thousand" pigs; according to the account at Mark 5:1-20 it mentions only one man).

Mathew 15:21-28: Jesus expelled a demon from the body of the daughter of a Canaanite woman
MATHEW 17: 14-21: Jesus healed a lunatic by driving out a demon from him

Mark 16:9: Jesus had driven seven demons out of Mary Magdalene.

Luke 7:21: Many people are cleansed from evil spirits by Jesus.
Luke 13:10-17: Jesus expelled a spirit of disease from the body of a woman on the Sabath.
Acts 5: 16: The Apostles healed those tormented by evil spirits.
Acts 16:16-24 Paul and Silas were imprisoned for driving a future-telling spirit out of a slave girl.
Act 19:11-12: Handkerchiefs and aprons touched by Paul cured illness and drove out evil spirits.

In short haijalishi sana kama takwimu zinaonyesha wanawake au wanaume, lakini mtiririko wa matukio unaonyesha kuwa women are more prone.Ikumbukwe pia kuwa wanawake na watoto waliongoza kama ilivyo leo kuhudhuria mahubiri ambapo mapepo walitolewa enzi hizo.

Kwa siku hizi sihitaji kuku convince maana ukiangalia hata kwenye TV utaona ni nani wanaongoza katika kupagawa na mapepo.
 
WomanOfSubstance,

Takwimu sahihi zinaweza kupatikana katika vifungu ambavyo Biblia ilizungumzia mapepo na kutaja jinsia. Lakini kwa vile wewe huna hizo takwimu basi ni vigumu kukubaliana na kauli yako hii ninayoinukuu

"Kwenye biblia, maandiko yanayohusu kutolewa pepo, wengi waliotolewa pepo ni wanawake"

Aidha mfano kutoka kwenye Genesis hauzungumzii mapepo unazungumzia Malaika au Sons of God.
 
Takwimu sahihi zinaweza kupatikana katika vifungu ambavyo Biblia ilizungumzia mapepo na kutaja jinsia. Lakini kwa vile wewe huna hizo takwimu basi ni vigumu kukubaliana na kauli yako hii ninayoinukuu

"Kwenye biblia, maandiko yanayohusu kutolewa pepo, wengi waliotolewa pepo ni wanawake"

Aidha mfano kutoka kwenye Genesis hauzungumzii mapepo unazungumzia Malaika au Sons of God.

Uko sahihi kuhusu sons of God... ila walipoasi na kuanza kuingiliana na binadamu wasingebaki tena kwenye utukufu wa mungu - actually hao ndio evil spirits; baada ya kusambaratishwa they kept on wondering in spirit form na ndio huingia watu.Hata shetani alianza kama malaika aliyakaa katika utukufu wa Mungu hadi alipoasi.

Kuhusu takwimu siwezi kujadili zaidi.
 
Kwa kuangalia haraka haraka hayo yanayoitwa 'mapepo' ni kwa nini 'hayapendi' kuwaingia wanawake katika nchi zilizoendelea? Na hata huku kwetu nako ukiangalia kwa makini unaona kuna uelekeo fulani towards certain social groups. Sijui kama wenzangu mnaliona hili.
 
Inawezekana...lol.

Hahahaha jibu langu halifai kwa kuwa siamini hayo mapepo to begin with. Subiri wale wanaoamini kuwa yapo, waje waseme kwa nini wa nchi zilizoendelea mapepo hayawaingii

Or maybe like what Teamo insinuated here; mapepo yanawaingia wacha Mungu (au wanaoyaamini uwepo wake). Wanawake nchi hizo weshakata kamba
 
Back
Top Bottom