Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Kabisa ili nalo la kuangalia kwa umakin mkubwa afya yako ndio mtaji wakoNatakiwa kuwa na nidhamu ya pesa ya hali ya juu.
Afya njema ni kila kitu.
Kweli sikuiz vijana tuna ma puuza sanaWasikilize wakubwa zako kile wanachokuambia maana wamepita barabara ambayo wewe sasa ndio unaipitia
Uko sahihi japo ni ngumu lakini nidhamu ya pesa ndio kila kitu mkuu Afya nayo ni muhimu kuzingatia Tusitafune pesa kama panyaNatakiwa kuwa na nidhamu ya pesa ya hali ya juu.
Afya njema ni kila kitu.
Hapana usiseme ivyoMaisha hayana maana yoyote
KabisaNothing is guaranteed 100%
Dah kweliiUko sahihi japo ni ngumu lakini nidhamu ya pesa ndio kila kitu mkuu. Tusitafune pesa kama panya
Hapa ni baada ya baba kufa na wamoyo na zile mamilioni zilivyo kata na sisi kutengana ,Kabisa
Sawa bhna 🤣Nimejifunza sitakiwa kumuamini mtu yeyote na haswa Mwachiluwi
Mhh kifo cha baba bhna kinaumiza sana baba ndio nguzo asee sisi wenyew toka baba afariki hakuna upendo kila mtu kivyake vyakeHapa ni baada ya baba kufa na wamoyo na zile mamilioni zilivyo kata na sisi kutengana ,
Marafiki niliodhani nitadumu nao milele
AseeeMwanamke mwenyewe makalio makubwa mweupe hawezi kukufikisha popote dunia hii😏😏
nidhamu ya pesa+afya njemaUko sahihi japo ni ngumu lakini nidhamu ya pesa ndio kila kitu mkuu Afya nayo ni muhimu kuzingatia Tusitafune pesa kama panya