maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 2,338
- 5,286
Sahihi mkuunidhamu ya pesa+afya njema
Sahihi mkuunidhamu ya pesa+afya njema
Hapo kwenye uchumiUkifanikiwa jijengee mizizi ya kupata pesa kwanza saidia kwa kiasi watu hawatakumbuka ulijinyima kiasi gani kuwasaidia...wataona kufeli kwakuo utaambiwa huna akili ya maisha hata huna starehe utaambiwa ni mpenda starehe kwasababu tu uko chini kiuchumi,usiseme mafanikio yako mbele za watu mipango yako au chochote wewe fanya tu.....watu ni wanafiki san sana....Sali sana
KweliMaisha yamenifundisha kumwamini mwenyezi Mungu na hakuna linalishindikana kwake. Ukipata mtihani lia na Mwenyzi Mungu bila kuchoka hakika njia zinafunguka na ukiona hupati mwanga basi jua bado hujamwomba sawa sawa zidisha kumwomba na kua na imani naye kwa ukubwa.
safiiKila siku maisha yananifundisha mengi sana ... Sichoki kujifunza
Ahahaj ety gumu gerezaMaisha yamenifunza kuwa,kumbe kuua mtu si kazi ngumu kabisa,gumu gereza🤒
Kila mtu na muelekeo wakeDunia uwanja wa fujo... At the end nothing matters... Tupo TU kama mifugo
Afya ni mtaji mkubwa sana mejifunza kutunza na kuijali sanaMimi kumuamin mlevi maisha yame nifundisha kuto muamini mlevi kabisa hasa akiongea wakat kalewa
Pili maisha yame nifundisha successfully ina kuitaji wewe moja kwa moja bila kutegemea msaada kutoka kwa mtu yoyote ili tu aku shike mkono uinuke hapo ulipo sio kwelii
Maisha haya yame nifundisha kuto kuamin promise mtu anazo kuwekea kabisa yaan kuto kuweka matarajio makubwa kutokana tu na promise ya mtu
Wewe yame kufundisha nini mpaka umri huo umefikia bado tuna jifunza
Ndiyo maana unasema ni rafiki yako ukipata tatizo halikuwa nawe tena..Nimejifunza sitakiwa kumuamini mtu yeyote na haswa Mwachiluwi