Mjadala: Maisha yamekufundisha nini mpaka umri huo uliofikia?

Kila siku maisha yananifundisha mengi sana ... Sichoki kujifunza
 
1. Watu hatuishi bali tunaahirisha kuishi (we do not live but postpone living)
2.Kila ulichonacho ni cha muda tu, umeazimwa tu ukitumie kwa wakati, furahia kinapokuwa mkononi mwako kwa wakati huo baasii.
 
Hapo kwenye uchumi
 
Kweli
 

Maisha Yamenifunza Ya Kwamba Siku Zote Nisitegemee Yanifunze,,Nami Niyafunze Pia....
###MimiNaMaishaSikuZoteTunafunzana###
​
 
Afya ni mtaji mkubwa sana mejifunza kutunza na kuijali sana
 
Shikilia kichwa chako hata wakati unaona akili iliyosalia hata upewe chabo utafeli.
Shikilia kichwa chako Hisia sio dereva wa kumuamini.

Maisha yako sio bango mambo yako Mazuri yasitoe notification hovyo.... Jamii imejaa wajinga wanaoharibu Vitu vizuri tu na kujaza nafasi za wenye tija.

Achana kabisa na habari za mapenzi, tumia gharama zako kujijenga na sio kuwekeza kwenye Mademu wa watu

Jambo lisilokuwa na tija kwa miaka au miezi mitano ijayo halistahili hata Dakika zako 5..
 
Maisha yanifundishe nini wakati me naishi maisha yangu.! Yani me ndio legacy
 
Usimuonee huruma masikini mwenzio.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…