B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
Wale watu wa spiritulity na imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hii mada " maneno/jina lina nguvu ili ufikie au usifikie malengo yako". uwa mna siri gani hamuisemi?
Kumekua na hii ishu ya watu kumwambia mtu eti " kwa izo ndoto ulizo nazo na unavyo jiita hutazifanikisha badili jina kwanza." Mfano mtu anaitwa Taabu na ana ndoto za kuwa Rubani basi hawa watu wa spirituality uwa wana mpa manena kuwa urubani na jina unalo jiita ni vitu tofauti bora ubadili jina kwanza ndo utafazifanikisha hizo ndoto
Mfano mwingine, mtu anajitokeza anasema anataka kuwa tajiri namba 1 duniani ila awa watu wa spirituality wanamwambia jina unalo jiita ndo lina impact wewe ufikie au usifikie kwenye ndoto zako.
Mifano ya humu JF
Mimi hua siamini katila hii nadhalia kuwa Jina lina relect personality ya mtu au ufanikiwaji wa ndoto zake.
Kinacho determine wewe ufikie malengo yako ni Mungu , Mindset yako, determination , hard work , Right people , capital , knowledge....... NA SIO JINA LAKO.
Mfano mtu anaitwa pombe Magfl na amekua rais jina lake halija m reflect personality yke kua atakua chapombe hasifikie malengo
Mtu anajiita 50 cent na ana ma millioni na mafanikio makubwa
Wasanii wanajiita majina ya wanyama kama mbuzi lakin wana career na mafanikio makubwa
WAtu wa spirituality / Imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hio mada.
Je ni kweli jina lina reflect/ kutoa picha ya wewe ulivyo( personality) na lina affect ufanikiwaji wa malengo? Njoo na mifano
Majadala kwenye huu uzi ni ,
1. Je jina unalo jiita/ itwa lina zuia wewe ufikie au usifikie ndoto zKo?
Does your name limit your succes and goals?
2 Jina lako lina eleza wewe ulivyo yaani tabia mienendo...nk
Does your name reflect/ defines your personality?
mada ni kuhusiana na hayo. Jibuni twende sawa
# WORDS HAS POWER?
Credits to
www.jamiiforums.com

Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati
Umetoka kwa Mwamposa lini?? Hapana mkuu sijaenda