MJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako

MJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako

The Law of Assumption is a positive thinking technique that suggests that by believing something is already true, you can manifest it into reality. It was created by author Neville Goddard (1905-1972) as a way to reframe one's outlook on life. The law of assumption is based on the idea that our deepest beliefs shape our experiences, and that we can manifest anything by feeling as if we already have it.

Here are some key points about the Law of Assumption:
  • How it works
    The law of assumption works by thinking and feeling as if you already have what you want, rather than just thinking about it.

    • What it can manifest
      People can use the law of assumption to manifest almost anything, such as good health, success at work, new relationships, or a new car.

    • How it works independently of physical evidence
      The law of assumption relies on the power of thought and belief, rather than physical evidence.

    • How it can help
      Adopting a positive mindset based on the law of assumption can help you gain confidence and have a more positive outlook on life.

By Nevil Goddard
 
Understanding the Law of Assumption

The Law of Assumption is based on the idea that our assumptions, beliefs, and inner speech shape our external reality. Goddard taught that to manifest our desires, we must first assume the feeling of the wish fulfilled. This means that we should cultivate the feeling of already having what we desire, using our imagination to create a sensory-rich experience of our wish being fulfilled. By doing so, we align our internal state with the reality we wish to create, thereby attracting it into our lives.

Kwa nini Nasibu (Bahati) aliacha jina lake na akajiita the most expensive mineral "Platinums" "Diamond" na baadaye "Simba" mnyama mwenye nguvu na akili kule porini mwenye mafanikio mengi na failures chache sana. Bado huoni reflection tu kwa kijana mdogo kabisa?

Trump alikataa kabisa kukiri kashindwa urais, na mmeona matokeo yake majuzi, hii concept inatokana na kwamba akili yako inakupa kile unachoilisha, ukiilisha garbage itakupa hayohayo, ukilisha negatives itakupa hayohayo so mbegu unayoipanda akilini kwako ndio utakayovuna. I tried this over and over again and I proved it works sana tu.

Kimsingi kila unachotaka kukifanya, kiumbe kwanza kichwani kwako, then chukua hatua usiende kwa kubahatisha na kila unachowaza kitaumbika. Misingi wa uumbaji ni neno kwanza so unapojitamkia failure au kujiisha shida maana yake umejikaribishia shida, wanaoamini kwa Mungu na Universe wanajua kabisa hivi viumbe havina time concept. Unapotamka shida za mwaka juzi au za utotoni, vinapokea neno "shida" tu na ni kwamba unaliumba. Unapotamka positives maana yake unaziishi na zitakufuata muda wote

You heard?
 
Kwa nini Nasibu (Bahati) aliacha jina lake na akajiita the most expensive mineral "Platinums" "Diamond" na baadaye "Simba"

Bado huoni reflection tu kwa kijana mdogo kabisa?
Jina lake halikuwa kikwazo ili yeye hasifanikiwe. Bali ni ndoto zake na matamanio ya kua msanii mkuwa mwenye mafanikio.
Kilicho mfanya afike hapo no juhudi zake, Telent, kujituma, Right people ( uongozi wake kina babu tale, Sallam), kukesha studio, collaboration with other artist and God' grace and blessing. Ila sio ishu ya Kujiita jina 'Diamond'

Mbona kuna msanii aliijiita 'Tanzanite' precious metal kama unavyosema na hajafanikiwa wala kutoboa?
 
Hujapata concept rudia kusoma tena!
 
Jina lake halikuwa kikwazo ili yeye hasifanikiwe. Bali ni ndoto zake na matamanio ya kua msanii mkuwa mwenye mafanikio.
Kilicho mfanya afike hapo no juhudi zake, Telent, kujituma, Right people ( uongozi wake kina babu tale, Sallam), kukesha studio, collaboration with other artist and God' grace and blessing.
Ila sio ishu ya Kujiita jina 'Diamond'

Mbona kuna msanii aliijiita 'Tanzanite' precious metal kama unavyosema na hajafanikiwa wala kutoboa?

Sasa mimi nimesema nini kiongozi?
 
U
Kwanini tusilifikirie hili kinyume chake? Simba alipewa hilo jina kutokana na nini kama sio muonekano wake, ukilisikia neno simba unavuta picha huyo simba mwenyewe, mwishowe mwenyewe unakubali kuwa huyu ni simba kweli. Hata useme Buffalo au Mbogo tunakuelewa unaongelea nini the same kwa Sokwe-mtu (Gorilla) No wonder why kundi la the so called 50 cent walijiita Gorillas Unit...Mondi ni simba, crown huvaa simba, Burna African giant na Gorilla...mifano mingi sana.

Njoo kwa bata sasa, tuje kuku, mbuzi, mbwa, chawa, kunguni, pimbi na vidubwasha visivyo hatarishi kiivyo hata majina yao yanafanania kabisa... dawa ya mende inazunguka kama ubuyu hata sumu ya panya licha ya kuwa hatarishi kwa binadamu, tatizo ni kuhusishwa na panya tu imechukuliwa poa. Huwezi kuta risasi za kuua tembo zipo kwenye vibanda vya wamasai wanauza kama zile shanga zao...

Pointi ya msingi, Majina yapo so related na uhusika, ukikosea mwenyewe simba ukamuita kuku utaijua shughuli yake mbele ya safari. Ila pia hata kuku akaitwa Simba kiasi gani hawezi mtisha mtu yeyote. Wazee wa nyuma waliovipa majina vitu, mimea, majina ya koo, makabila e.t.c wisdom ililala hapo...vizazi vyetu kabeji za mpito.
Dhahabu tupu hapa.

Ahsante.
 
Sasa mimi nimesema nini kiongozi?
Mimi hoja yangu ni " jina analojihita mtu au maneno yana husianaje na yeye kutimiza malengo yake"
Mimi hua siamini katila hii nadhalia kuwa Jina lina relect personality ya mtu au ufanikiwaji wa ndoto zake.
Kinacho determine wewe ufikie malengo yako ni Mungu , Mindset yako, determination , hard work , Right people , capital , knowledge....... NA SIO JINA LAKO.

Umesema kua yeye kujiita hilo jina la precious metal ndo limechagia yeye kufanikiwa ndo mimi nika crush hoja hio kwa kusema amefanikiwa kwa juhudi zake, Telent, kujituma, Right people ( uongozi wake kina babu tale, Sallam), kukesha studio, collaboration with other artist and God' grace and blessing

nikauliza . Mbona kuna msanii alijiita "Tanzanite na hajataboa?

Sio kujiita tu jina bali hard working and effort inazoweka kufikia malengo yako
 
Wale watu wa spiritulity na imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hii mada " maneno/jina lina nguvu ili ufikie au usifikie malengo yako". uwa mna siri gani hamuisemi?

Kumekua na hii ishu ya watu kumwambia mtu eti " kwa izo ndoto ulizo nazo na unavyo jiita hutazifanikisha badili jina kwanza." Mfano mtu anaitwa Taabu na ana ndoto za kuwa Rubani basi hawa watu wa spirituality uwa wana mpa manena kuwa urubani na jina unalo jiita ni vitu tofauti bora ubadili jina kwanza ndo utafazifanikisha hizo ndoto

Mfano mwingine, mtu anajitokeza anasema anataka kuwa tajiri namba 1 duniani ila awa watu wa spirituality wanamwambia jina unalo jiita ndo lina impact wewe ufikie au usifikie kwenye ndoto zako.

Mifano ya humu JF
View attachment 3160184View attachment 3160185
Mimi hua siamini katila hii nadhalia kuwa Jina lina relect personality ya mtu au ufanikiwaji wa ndoto zake.
Kinacho determine wewe ufikie malengo yako ni Mungu , Mindset yako, determination , hard work , Right people , capital , knowledge....... NA SIO JINA LAKO.
Mfano mtu anaitwa pombe Magfl na amekua rais jina lake halija m reflect personality yke kua atakua chapombe hasifikie malengo

Mtu anajiita 50 cent na ana ma millioni na mafanikio makubwa

Wasanii wanajiita majina ya wanyama kama mbuzi lakin wana career na mafanikio makubwa

WAtu wa spirituality / Imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hio mada.
Je ni kweli jina lina reflect/ kutoa picha ya wewe ulivyo( personality) na lina affect ufanikiwaji wa malengo? Njoo na mifano

# WORDS HAS POWER?

Credits to
A positive mind matter, ingekuwa wote wenye same names wawe the same#mtu anajiita poor millionaire lakini ana offshore kibao, reality is wrong dream are for real
 
Mimi hoja yangu ni " jina analojihita mtu au maneno yana husianaje na yeye kutimiza malengo yake"
Mimi hua siamini katila hii nadhalia kuwa Jina lina relect personality ya mtu au ufanikiwaji wa ndoto zake.
Kinacho determine wewe ufikie malengo yako ni Mungu , Mindset yako, determination , hard work , Right people , capital , knowledge....... NA SIO JINA LAKO.

Umesema kua yeye kujiita hilo jina la precious metal ndo limechagia yeye kufanikiwa ndo mimi nika crush hoja hio kwa kusema amefanikiwa kwa juhudi zake, Telent, kujituma, Right people ( uongozi wake kina babu tale, Sallam), kukesha studio, collaboration with other artist and God' grace and blessing

nikauliza . Mbona kuna msanii alijiita "Tanzanite na hajataboa?

Sio kujiita tu jina bali hard working and effort inazoweka kufikia malengo yako

Uumbaji wa aina zote unaanza na neno! Mindset, determination, hard work, right people etc, ni product ya umeumba nini kichwani kwako, na inaanzia unavyoviita mwenyewe, it starts with "I" Mungu alipoulizwa na Musa wewe ni nani alijibu "I am who I am" so unatakiwa kujitambua wewe ni nani (jina) Simba (mnyama asiyefeli) Diamond (the most expensive germ) etc, then inakuja concept ya nini nataka (kuwa director, successful musician, mchungaji, engineer etc) baada ya hapo ndio akili yako itafunguka kuleta hizo products zikupe njia ya kuleta hilo umbo uliloumba kichwani into reality.

Steve job aliumba Iphone kichwani kwanza, Trump aliuishi urais kwanza kichwani, na most successful people huwa wanaunda concept kwanza ndio hizo products ulizotaja zinakuja.

Ukitaka kununua gari unaanza kwa kuichagua kichwani unataka ya namna gani then mengine yanajengeka baada ya hapo - kuna watu wanaitumia meditation kuunda, ndio maana hata watumishi huwa wanasema unachotaka amini umepata so wanakwambia jenga kichwani kwako unachotaka sio wakuombee wao, haendi hivyo!
 
Understanding the Law of Assumption

The Law of Assumption is based on the idea that our assumptions, beliefs, and inner speech shape our external reality. Goddard taught that to manifest our desires, we must first assume the feeling of the wish fulfilled. This means that we should cultivate the feeling of already having what we desire, using our imagination to create a sensory-rich experience of our wish being fulfilled. By doing so, we align our internal state with the reality we wish to create, thereby attracting it into our lives.
The law is to inspire and motivate someone that if U believe and make assumption about certain goal in your life then u can achieve it since the inner speech shape our external reality.
Yes its true when u say something negative about yourself and make it sink in your mind / mindset then it will affect and limit you not to achieve your goals.

My concern is, only by assuming and manifesting you want to accomplish something is not a guarantee that you will achieve it. Its only by putting more effort and become more hard working, meeting the right people , Capital, positive mindset, determinatin, support from others, Not giving Up, and by God's Grace and blessings
 
My brother its not assuming, hii ni practice kamili ya kuunda hayo uliyosema, inawezekana unayemsema tanzanite aljua ni assumptions kama wewe ndo mana kafeli
 
Uumbaji wa aina zote unaanza na neno! Mindset, determination, hard work, right people etc, ni product ya umeumba nini kichwani kwako, na inaanzia unavyijiita mwenyewe, it starts whith "I" Mungu alipoulizwa na Musa wewe ni nani alijui "I am who I am" so unatakiwa kujitambua wewe ni nani (jina) Simba (mnyama asiyefeli) Diamond (the most expensive germ) etc, then inakuja concept ya nini nataka (kuwa director, successful musician, mchungaji, engineer etc) baada ya hapo ndio akili yako itafunguka kuleta hizo products zikupe njia ya kuleta hilo umbo uliloumba kichwani into reality.

Steve job aliumba Iphone kichwani kwanza, Trump aliuishi urais kwanza kichwani, na most successful people huwa wanaunda concept kwanza ndio hizo products ulizotaja zinakuja.

Ukitaka kununua gari unaanza kwa kuichagua kichwani unataka ya namna gani then mengine yanajengeka baada ya hapo - kuna watu wanaitumia meditation kuunda, ndio maana hata watumishi huwa wanasema unachotaka amini umepata so wanakwambia jenga kichwani kwako unachotaka sio wakuombee wao, haendi hivyo!
Nimekuelewa na upo sahihi na hoja yako.

Majadala kwenye huu uzi ni ,
1. Je jina unalo jiita/ itwa lina zuia wewe ufikie au usifikie ndoto zKo?
Does your name limit your succes and goals?

2 Jina lako lina eleza wewe ulivyo yaani tabia mienendo...nk
Does your name reflect/ defines your personality?

mada ni kuhusiana na hayo. Jibuni twende sawa
 
Kaka unatakiwa uliishi jina ili likupe matokeo, huwezi jiita simba ukalala then swala/nyati etc. wakakufuata, ni lazima utoke ukaungurume na kuwinda kama simba then vyote vitafuata. Hata waumini wa biblia wanasema utafuteni kwanza "ufalme" na mengine yote yatawafuata. Hamna mfalme "nanga"
 
Kaka unatakiwa uliishi jina ili likupe matokeo, huwezi jiita simba ukalala then swala/nyati etc. wakakufuata, ni lazima utoke ukaungurume na kuwinda kama simba then vyote vitafuata.
Ungejibu hayo maswali mojamoja kwa hoja na mifano.

So far nimegundua
1 kujiita jina fulani haitoshi kuwa utafanikiwa kwenye malengo yako bali kuwa na positive mindset, hardworking, cretivity, capital, right people

Mfano kujiita Simba na hauna mindset ya kisimba. Wala kutokujishughulisha kutimiza ndoto zako.
Ata ukijiita 'Tajiri namba 1 duniani' bado sio guarantee ya wewe kufanikiwa hio ndoto. Bali kua hard working, positive mindset, cretivity, talent.....

Kumbuka mfano kwenye mada
Kuawa wewe unaitwa TAABU na unataka kuwa rubani. Huwezi kufanikisha hio ndoto mpaka ubadili jina unalojiita/ itwa?
 
You are enough matured.
Everything starts with imagination. Our imagination directs us toward achievement or failure, nothing else.
AUumbaji wa aina zote unaanza na neno! Mindset, determination, hard work, right people etc, ni product ya umeumba nini kichwani kwako, na inaanzia unavyoviita mwenyewe, it starts with "I" Mungu alipoulizwa na Musa wewe ni nani alijibu "I am who I am" so unatakiwa kujitambua wewe ni nani (jina) Simba (mnyama asiyefeli) Diamond (the most expensive germ) etc, then inakuja concept ya nini nataka (kuwa director, successful musician, mchungaji, engineer etc) baada ya hapo ndio akili yako itafunguka kuleta hizo products zikupe njia ya kuleta hilo umbo uliloumba kichwani into reality.

Steve job aliumba Iphone kichwani kwanza, Trump aliuishi urais kwanza kichwani, na most successful people huwa wanaunda concept kwanza ndio hizo products ulizotaja zinakuja.

Ukitaka kununua gari unaanza kwa kuichagua kichwani unataka ya namna gani then mengine yanajengeka baada ya hapo - kuna watu wanaitumia meditation kuunda, ndio maana hata watumishi huwa wanasema unachotaka amini umepata so wanakwambia jenga kichwani kwako unachotaka sio wakuombee wao, haendi hivyo!
 
U

Dhahabu tupu hapa.

Ahsante.
Majadala kwenye huu uzi ni ,
1. Je jina unalo jiita/ itwa lina zuia wewe ufikie au usifikie ndoto zKo?
Does your name limit your succes and goals?

2 Jina lako lina eleza wewe ulivyo yaani tabia mienendo...nk
Does your name reflect/ defines your personality?
 
You are enough matured.
Everything thing starts with imagination. Our imaginations direct us towards achievements or failure, nothing else.
Ndio alichosema ni kweli. Hii mada imetokana na mwana JF kusema kua ana ndoto za kua Director mkuwa. Ila comment nyingi zinamtaka abadili jina kwanza analo jiita. Sasa jina lina m limit vipi asifikie malengo yake

1. Je jina unalo jiita/ itwa lina zuia wewe ufikie au usifikie ndoto zKo?
Does your name limit your succes and goals?

2 Jina lako lina eleza wewe ulivyo yaani tabia mienendo...nk
 
Ungejibu hayo maswali mojamoja kwa hoja na mifano.

So far nimegundua
1 kujiita jina fulani haitoshi kuwa utafanikiwa kwenye malengo yako bali kuwa na positive mindset, hardworking, cretivity, capital, right people

Mfano kujiita Simba na hauna mindset ya kisimba. Wala kutokujishughulisha kutimiza ndoto zako.
Ata ukijiita 'Tajiri namba 1 duniani' bado sio guarantee ya wewe kufanikiwa hio ndoto. Bali kua hard working, positive mindset, cretivity, talent.....

Kumbuka mfano kwenye mada
Kuawa wewe unaitwa TAABU na unataka kuwa rubani. Huwezi kufanikisha hio ndoto mpaka ubadili jina unalojiita/ itwa?
Exactly...

Mindset inaanza kujengwa na jina lako, kwa mfano mwanao mdogo ukianza kumuita dume la mbegu, bouncer, msomi, mwenye akili, the strong, etc. utaona atakavyokua na kuyaishi unayomnenea

Na viceversa ukimuita mwanao kiazi, mjinga, mpumbavu punguani etc, atayaishi hayohayo! Tanzania kama nchi tunaitwa maskini kila siku unaonaje reflection kwenye kitaifa?
 
Back
Top Bottom