B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
- Thread starter
- #61
Hio sio sababu ya yeye kubadilishwa jinaIli.aweze kuwa Baba wa Mataifa au baba wa Vizazi au mwenye Kizazi kikubwa Ndo ilibidi abadilishwe Jina..
Maelezo zaidi . Link hio
Kwa nini wakati mwingine Mungu alibadilisha jina la mtu katika Biblia?
Kwa nini Mungu wakati mwingine alibadilisha jina la mtu katika Biblia? Je! Wakati mwingine Mungu alimpa mtu jina jipya kumpa utambulisho mpya?
www.gotquestions.org
Ni ucha Mungu wake, pia agano na ahadi aliokuwa amewekeana na Mungu ndo ilimfanya Mungu ambariki kisha kum badilisha jina kutoka Abramu na kuwa ibrahimu
Kubadilika kwa jina ni ishara ya utakaso na kuinuliwa/ leverage au tuseme transformation kutoka stage moja kwenda nyingine.
Point hapo ni kunyimwa Baraka ya UumbajiUkisoma Wanawake waliokuwa Akarah (Walionyimwa Baraka ya Uumbaji) ni Sarai, Rebeka na Hana na Hakuna Mwanamke mwingine aliyeitwa Akarah kwemye Biblia zaidi ya Hao..
Na sio jina Sarai kumzuia hasishike mimba
Kama maswali ya mada yanavyo uliza
1. Je jina unalo jiita/ itwa lina zuia wewe ufikie au usifikie ndoto zKo?
Does your name limit your succes / goals?
Kwamba jina sarai ndo lilimzuia hasishike mimba au
Jina Abram ndo lilimfanyah hasibarikiwe na kuwa baba wa mataifa
2 Jina lako lina eleza wewe ulivyo yaani tabia mienendo...nk
Does your name reflect/ defines your personality?
Kwamba kuiitwa Sauli ndo kulimfanya awe muuaji