MJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako

MJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako

View attachment 3161439
View attachment 3161440
View attachment 3161444
umeeleweka vizuri kwamba huamini Mungu yupo kwa kigezo cha kutumia maandiko ya Biblia kwani ni contaradictory na yapo Edited . kwa upande wako
Siyo kwa upande wangu. Ni ukweli kwamba Biblia ina contradictions nyingi, na si tu imekuwa edited, bali pia yote imeandikwa na watu tu.

Hivyo kusema kitu ninkweli kwa sababu kimeandikwa kwenye Biblia ni logical fallacy. Ni argument from authority logical fallacy.

Na mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.
 
HApo kwa Abrahamu ni baada ya kumcha Mungu na kutii amri zKe ndo Mungu akambariki na akaona na jina alibadili kama leverage. Same to Sarah
Habari ya Mungu umeanza kuileta wewe post namba 11, sijaileta mimi.

Mimi nimekujibu tu.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Siyo kwa upande wangu. Ni ukweli kwamba Biblia ina contradictions nyingi, na si tu imekuwa edited, bali pia yote imeandikwa na watu tu.

Hivyo kusema kitu ninkweli kwa sababu kimeandikwa kwenye Biblia ni logical fallacy. Ni argument from authority logical fallacy.

Na mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.
UMeeleweka
Yuiweke hivi.
Anzisha uzi wako wa 'thibitisha Mungu yupo'
Kisha Ni Tag. Nitakuja na prove zangu.

Usiishie tu kusema "hibitisha Mungu yupo"
Weka maelezo yako na Hoja zako kwa nini unakataa hayupo.

Maana mpaka sasa tusha toka kwenye mada ya Uzi. Kazi ni kwako nakusubiri
 
Basi anzisha uzi wako mwingine nikuthibitishie maana tusha toka kwenye mada ya huu Uzi. Ukisha anzisha ni Tag nije
Habari ya Mungu umeanza kuileta wewe post namba 11, sijaileta mimi.

Mimi nimekujibu tu.

Thibitisha Mungu yupo.
 
UMeeleweka
Yuiweke hivi.
Anzisha uzi wako wa 'thibitisha Mungu yupo'
Kisha Ni Tag. Nitakuja na prove zangu.

Usiishie tu kusema "hibitisha Mungu yupo"
Weka maelezo yako na Hoja zako kwa nini unakataa hayupo.

Maana mpaka sasa tusha toka kwenye mada ya Uzi. Kazi ni kwako nakusubiri
Habari ya Mungu umeanza kuileta wewe post namba 11, sijaileta mimi.

Mimi nimekujibu tu.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Eti anakua kilaza. Akili yake ina lemaa
inategemea na katuni yenyewe
Mtu hushiba kwa njia tatu mpaka nne 1.Kwa Kusikia 2.Kwa kuona 3.Kwa kuhisi
Kama anacho angalia kinamfundisha upotofu ni lazima akili yake iwe inafikiri huko kila mara na mwsho inakuwa tabia
 
Habari ya Mungu umeanza kuileta wewe post namba 11, sijaileta mimi
Huyo alie Comment kwenye post na nikamjibu kwenye namba 11.
Screenshot_20241125-191035_Opera Mini.jpg

NImemjibu hivyo kwa sababu nimemuelewa kua ana maanisha/ na kumuongelea Abraham na Sarai wa kwenye kitabu cha Biblia. Na kama ni hivyo Stori ya Abraham ilioko kwenye maandiko ya Biblia. Wahusika walikuwa wa 3 yaani Abraham , sarai na Mungu
Screenshot_20241125-185130_Opera Mini.jpg

Labda kama alikua anaongelea Abrahamu wa mtaani kwao ambae mimi simjui

Mimi nimekujibu tu.

Thibitisha Mungu yupo.
Majibu zaidi kama nilivyokuelezea ukianzisha uzi wako nitakuthibitishia
Anzisha uzi wako wa 'thibitisha Mungu yupo'
Kisha Ni Tag. Nitakuja na prove zangu.

Usiishie tu kusema "thibitisha Mungu yupo"
Weka maelezo yako na Hoja zako kwa nini unakataa hayupo.

Maana mpaka sasa tusha toka kwenye mada ya Uzi.

Kazi ni kwako kama kweli unataka uthibitisho
 
Huyo alie Comment kwenye post na nikamjibu kwenye namba 11.

NImemjibu hivyo kwa sababu nimemuelewa kua ana maanisha/ nakumuongelea Abraham na Sarai wa kwenye kitabu cha Biblia. Na kama ni hivyo Stori ya Abraham ilioko kwenye maandiko ya Biblia Mungu anahusishwa kwenye hio stori yao.
View attachment 3161462

Labda kama alikua anaongelea Abrahamu wa mtaani kwao ambae mimi simjui

Majibu zaidi kama nilivyokuelezea ukianzisha uzi wako nitakuthibitishia

Kazi ni kwako kama kweli unataka uthibitisho
Ndo
Story ya Mungu ulishaikubali kwenye uzi huu tangu post namba 11.

Ungekuwa hutaki habari za Mungu kwenye uzi huu ungezikataa tangu post namba 11.

Umekubali story ya Mungu kwenye uzi huu tangu post namba 11, hivyo usinilazimishe nianzishe uzi mwingine kujadili habari za Mungu.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Naona kama unalazimisha habari za Mungu ziende kwenye uzi mwingine kwa sababu huwezi kuthibitisha Mungu yupo tu.
 
Story ya Mungu ulishaikubali kwenye uzi huu tangu post namba 11.

Ungekuwa hutaki habari za Mungu kwenye uzi huu ungezikataa tangu post namba 11.

Umekubali story ya Mungu kwenye uzi huu tangu post namba 11, hivyo usinilazimishe nianzishe uzi mwingine kujadili habari za Mungu.

Hujathibitisha Mungu yupo.
Mbona jibu nililokujibu hapo juu kwenye namb 87 limejitosheleza.

Ni wewe sasa kumtafta huyo aliecomment na nikamjibu post namba 11 alikua ana maanisha Abrahamu yupi wa kwenye kitabu cha Biblia au wa mtaani kwao.
Screenshot_20241125-191035_Opera Mini.jpg

Kama ni abraham wa BiBlia stori ilikua ya Abraham, Sarai na Mungu wahusika wa 3
screenshot_20241125-185130_opera-mini-jpg.3161480

Wewe ndo utakua umedandia gari kwa mbele ujaelewa mada ilipo anzia

Kama kweli unataka uthibitisho anzisha uzi usilete visababu. Inakua ubishi usio na maana.

#LETA UZI KAMA KWELI UNATAKA UTHIBITISHO
 
Attachments

  • Screenshot_20241125-185130_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20241125-185130_Opera Mini.jpg
    252.7 KB · Views: 3
Mbona jubu nililokujibu hapo juu limejitosheleza.
Ni wewe sasa kumtafta huyo aliecomment na nikamjibu post namba 11 alikua ana maanisha Abrahamu yupi wa kwenye kitabu cha Biblia au wa mtaani kwao.
View attachment 3161479

Kama ni abraham wa BiBlia stori ilikua ya Abraham, Sarai na Mungu wahusika wa 3
screenshot_20241125-185130_opera-mini-jpg.3161480

Wewe ndo utakua umedandia gari kwa mbele ujaelewa mada ilipo anzia

Kama kweli unataka uthibitisho anzisha uzi usilete visababu. Inakua ubishi usio na maana.

#LETA UZI KAMA KWELI UNATAKA UTHIBITISHO
Umeleta habari za Mungu bila kuweza kuthibitisha Mungu yupo.

Unakubali au unakataa hilo?
 
Umeleta habari za Mungu bila kuweza kuthibitisha Mungu yupo.

Unakubali au unakataa hilo?
LETA UZI KAMA KWELI UNATAKA UTHIBITISHO .
Usilete visababu. Humu Tuwaachie wenye watu waendelee kuchangia kuhusiana na mada ya Uzi.

Unaogopa nini kuleta uzi kama lweli unataka uthibitisho?
 
LETA UZI KAMA KWELI UNATAKA UTHIBITISHO .
Usilete visababu. Humu Tuwaachie wenye watu waendelee kuchangia kuhusiana na mada ya Uzi.

Unaogopa nini kuleta uzi kama lweli unataka uthibitisho?
Kwa nini nilete uzi wakati uzi huu upo tayari na ushamjadili Mungu hapa?

Sema tu umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo unaleta kisingizio cha "leta uzi".

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Hapa lazima mpishane pakubwa, na hamtaelewana kamwe. Sababu kuu: mmoja anatetea hoja yake kwa kutumia Imani wakati mwingine anataka hoja ijibiwe kwa logic.
Mmoja anataka intuition evidence pia itumike wakati mwingine anataka empirical evidence tu ndiyo itumike ku-justify uwepo wa mungu.

Bifu lenu halina muafaka. Binafsi kila mmoja namuaona Yuko sahihi kulingana na muktadha wa Aina ya Elimu, religion or philosophy.
Ukisoma thread namba 87 na 89
Unaona kabisa huyu mtu sio wa kawaida kuna shida mahali.
Binafsi kila mmoja namuaona Yuko sahihi kulingana na muktadha wa Aina ya Elimu, religion or philosophy
Hapo umeongea point.
Ni ishu ya uamuzi Ni kweli huenda Elimu, Imani na phylosophy
Zake zinakataa

Usikute unabishana na mganga eti Mungu yupo au hayupo kamwe hata kuelewa
 
Kwa nini nilete uzi wakati uzi huu upo tayari na ushamjadili Mungu hapa?

Sema tu umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo unaleta kisingizio cha "leta uzi".

Hujathibitisha Mungu yupo.
HIO AVATAR yako inaonesha una elimu / imani ya Astrology/ nyota au ni picha tu haina maana yoyote?
 
Astrology ni nini?

Hujathibitisha Mungu yupo.
Kwa vile wote wawili tunabishana.
HITIMISHO liwe kama cc Blue Bahari alivyosema kwenye post namba 71

Nim nukuu
"Binafsi kila mmoja namuaona Yuko sahihi kulingana na muktadha wa Aina ya Elimu, religion or philosophy"
 
Back
Top Bottom