MJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako

MJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako

Kwa vile wote wawili tunabishana.
HITIMISHO liwe kama cc Blue Bahari alivyosema kwenye post namba 71

Nim nukuu
"Binafsi kila mmoja namuaona Yuko sahihi kulingana na muktadha wa Aina ya Elimu, religion or philosophy"
Huna usahihi ikiwa unasisitiza kuwa unatumia logic wakati unatumia logical fallacy.
 
Wewe ndiye unaogopa.

Uzi huu hapa tayari. Nilete uzi wa nini?

Thibitisha Mungu yupo.
Usiogope binadamu ni kuuamini msimamo wako. LETA uzi
Mfano
Usikute unabishana na mganga eti Mungu yupo au hayupo kamwe hata kuelewa
 
Usiogope binadamu ni kuuamini msimamo wako. LETA uzi
Mfano
Usikute unabishana na mganga eti Mungu yupo au hayupo kamwe hata kuelewa
Kwa nini unalazimisha suala la kuogopa?

Mimi siogopi, wewe ndiye unayeogopa, hujathibitisha Mungu yupo hapa, unaleta kisingizio cha kuanzisha uzi.

Kwa nini nianzishe uzi mwingine wakati muktadha mzima wa kuanzia kuongelea habari ya Mungu upo kwenue uzi huu?

Basi ngoja nikuanzishie uzi. Ni waambie wana JF kuwa kuna mtu anataka Uthibitisho
Wa uwepo wa Mungu.
 
Basi ngoja nikuanzishie uzi. Ni waambie wana JF kuwa kuna mtu anataka Uthibitisho
Wa uwepo wa Mungu.
Wana JF wengi wanajua mimi nataka uthibitisho wa kuwapo kwa Mungu kwa miaka mingi tu.

Ni wewe tu ndiye umechelewa kujua.
 
Back
Top Bottom