mjasiriamali mdogo
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 258
- 110
Sayansi ya mpira ni ipi au nini naombaa ufafanuzi nipate kujifunza?Cha kwanza hawaamini katika Sayansi ya mpira na teknolojia katika soka, wenyewe wanaamini kwamba ushindi wa Timu ni mipango ya Mungu/Uchawi.
Jaribu kufatilia interview za makocha wa Tanzania baada ya mechi huwa wanasema tumeshinda kwa uwezo wa mwenyezi mungu na bla blah nyingine hapo zisizo za kiufundi.
tactics za kisasa,training pia na kuandaa mechi kulingana na mpinzaniSayansi ya mpira ni ipi au nini naombaa ufafanuzi nipate kujifunza?
Tactical formations na maelekezo yake, Training sessions(sio kila siku inapaswa watu kufanya mazoezi ya kukimbia au Gym) pia kila mchezaji inapaswa afundishwe zaidi mazoezi fulani kulingana na nafasi anayocheza,Sayansi ya mpira ni ipi au nini naombaa ufafanuzi nipate kujifunza?
Vilaza mno mpaka wachezaji waotatizo linaanzia hata kuongea na waandishi lazima utasikia 'nashukuru nungu mechi imeisha salama mpira unamatokeo matatu.' yani hiyo ni kila kocha wa bongo kaimeza
kutopewa simba na yanga haimaanishi hatuna makocha wazuri, mbona hata hao mnaosema wameendelea kwenye mpira bado tim zao hazina makocha wazawa kwenye timu kubwa.. mfano madrid, barcelona, man city, liverpool, PSG, man U, wote wanamakocha wakigeniMakocha wa bongo hata simba na yanga hawapewi. Unataka wapewe man city?
HAKUNA KOCHA BONGO
Halafu wanabet mpaka timu zao!!
mbona timu za vijana za taifa zinaongozwa na makocha wazawa na zinafika hadi kombe la dunia.. sijajua ukisema tactic za kisasa unamaanisha nini, kila tim inafanya ivyo kujiandaa na mpinzan tofauti inakuja kwenye quality ya wachezaji wetu, wanaweza kutimiza majukumu yao ya kifundi vile inatakiwa, wachezaji wengi quality ni ndogo kulingana na mahitaji wa waalimtactics za kisasa,training pia na kuandaa mechi kulingana na mpinzani
Unataka kutuambia tunaigiza?Kama utasikiliza anavyojibu maxime ndio utajua kwanini hawawezi vuka mipaka kwanza kabisa ni wapanga matokeo!
Kuigiza mbali na kufanya kusudi ni jambo jingine!Unataka kutuambia tunaigiza?
udibishane na watu wasiojua mpira. mbona wao wamesoma na wana profesion zao ila hawajapambana kwenda kufanya kazi nje, kama ni rahisi mtoa mada nayeye akafanye kazi njeUnataka kutuambia tunaigiza?
usikariri kaka.. kiemba analeseni B ya CAF.Ili uajiliwe nje ya nchi kwanza wanaangalia cv yako, elimu ya ukocha, vilabu ulivyofundisha na matokeo uliyopa. Hapo wanaangalia vikombe ulivyochukua, au kupandisha timu daraja. Sio Kama huku Kiemba anateuliwa kocha wa taifa wakati hajawahi kufundisha hata timu moja.
Pia anaweza kuanza timu ndogo huku akijenga cv yake.
Kinachowqkwqmisha makocha wetu ni elimu, lugha na utamaduni wetu.