Mjadala: Matatizo ya Makocha WA mpira wa miguu Tanzania

Nitahie timu alizofundisha, Ali kamwe naye anasema ana leseni B nitajie timu alzofundisha
 
kama vitu hujui usibishane... huwezi pewa cheti cha ukocha ukapata leseni ya kufundishia kabla hujatimiza vigezo vya ualim. usifikiri izi kozi za makocha ni kama semina tu unaenda unapewa cheti.
 
Jibu swali Ali Kamwe ana cheti Cha ukocha kufundisha timu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…