Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,851
Kwa individual accomplishments Samatta kamtupa mbali WanyamaWanyama je
Hata wao hawajamfikia kwenye mafanikio aliyonayo, kwa kuorodhesha moja moja yeye anayo mafanikio mengi tu, labda tu hapa tunafananisha dhama za kale na za sasa hivi, zama za kale wakina tenga kwa bongo walikuwa balaa, dhama hizi huyu dogo hashikiki na mchezaji yoyote wa dhama zake, kwa mafanikio yake hashikiki na mchezaji yoyote wa tanzania, mpira yeye umemlipa kuliko mchezaji yoyote yule.Kwenye National team hata robo hajawafikia.
Ndiyo maana Maradona anaheshimika sana Argentina kuliko Messi kwa sababu alileta kombe nyumbani
Mkuu lete mafanikio ya hao wachezaji katika level yourMbwana Samatta hajayafikia mafanikio ya kina Tenga na hata mafanikio ya kina Nsajigwa na kundi lake.
Ukweli uko hapa.
Kina Tenga na wenzake walicheza fainali za AFCON.
Kina Nsajigwa na wenzake walicheza fainali za CHAN na kubeba kombe la challenge
Huyu Samatta na wenzake hawajaleta hata kikombe cha chai
Usilinganishe watoto na wanaume.
Boban kacheza uefa champions league? Ebu lete uthibitisho hapa mkuu boban akiwa uwanjaniBoban kacheza UEFA champions League ujue lakini tayari ana silver wear ya kombe la challenge unamlinganisha vipi na Mbwana Samatta ambaye hajafikia hivyo vitu
Bobani amecheza uefa na timu gani mkuu?Boban kacheza UEFA champions League ujue lakini tayari ana silver wear ya kombe la challenge unamlinganisha vipi na Mbwana Samatta ambaye hajafikia hivyo vitu
Walionyesha ufundi wao wakicheza na nani? Simba na Yanga? Maana ubora wa mchezaji unapimwa na level ya ushindaniSahihi kabisa kwa mafanikio kweli anaongoza lakini kwa ubora na kusakata soka hapana...kuna vichwa vilipita hapa tz hata vingekuwa ulaya vingesumbua tu kama kina Hussein Aman Masha,Hamis Thobias Gagarino, Sanif Lazaro, Peter Tino Stephen Musa.....nk
amechukua champions leagua akiwa na mazembe huku akiwa mfungaji bora wa mashindano hayo,nw ndio top score wa ligi ya ubelgiji iliyowatoa wakina de bruyne,felaine,hazard nk.ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi za africa.hizi hao wakina tenga na nsajigwa kuna tuzo gani washachukuaMbwana Samatta hajayafikia mafanikio ya kina Tenga na hata mafanikio ya kina Nsajigwa na kundi lake.
Ukweli uko hapa.
Kina Tenga na wenzake walicheza fainali za AFCON.
Kina Nsajigwa na wenzake walicheza fainali za CHAN na kubeba kombe la challenge
Huyu Samatta na wenzake hawajaleta hata kikombe cha chai
Usilinganishe watoto na wanaume.
amechukua champions leagua akiwa na mazembe huku akiwa mfungaji bora wa mashindano hayo,nw ndio top score wa ligi ya ubelgiji iliyowatoa wakina de bruyne,felaine,hazard nk.ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi za africa.hizi hao wakina tenga na nsajigwa kuna tuzo gani washachukua
International Games,CUF African Champions League and so forth....Walionyesha ufundi wao wakicheza na nani? Simba na Yanga? Maana ubora wa mchezaji unapimwa na level ya ushindani
unaweza UKANYANYU kwapa hata kama ulikua majeruhi au ulikua benchi.niambie tuzo alizochukua nsajigwa compared na samattaUkienda pale TFF kuna kombe lipo aliyenyanyua zile kwapa ni Nsajigwa
Acha upotoshaji. Weka ushahidi wa hiyo mechi aliyocheza ya Champions League?!Boban kacheza UEFA champions League ujue lakini tayari ana silver wear ya kombe la challenge unamlinganisha vipi na Mbwana Samatta ambaye hajafikia hivyo vitu
Akileta huo uthibitisho nipigwe BAN ya maisha.Boban kacheza uefa champions league? Ebu lete uthibitisho hapa mkuu boban akiwa uwanjani
Sasa Itakuwa mahakama hii,,, anyway machache katika mengi kuna wakati ilikuja timu ya taifa ya Ghana The Black Stars kucheza na taifa stars miaka ya 90 huko.... Hussein Aman Masha alikuwa ni kiungo wa kati siku hiyo....aliwadhibiti na kuwakimbiza nyota wa Ghana waliokuwa wakicheza huko ulaya..... mwishoni mwa gem .....wale jamaa waliuliza Masha anacheza timu gani huko ulaya??...wakidhani anakipiga majuu kwa kiwango alichoonyesha.....walipoambiwa anakipiga humu humu ndani,Simba Sport Club ....jamaa walichoka..Lete vielelezo mkuu, mfano hata gemu flani aliweka rekodi flani
Mkuu hiki ulichokiandika aibu naona mimi. Tafuta kigezo kingine hiki hapana.Sasa Itakuwa mahakama hii,,, anyway machache katika mengi kuna wakati ilikuja timu ya taifa ya Ghana The Black Stars kucheza na taifa stars miaka ya 90 huko.... Hussein Aman Masha alikuwa ni kiungo wa kati siku hiyo....aliwadhibiti na kuwakimbiza nyota wa Ghana waliokuwa wakicheza huko ulaya..... mwishoni mwa gem .....wale jamaa waliuliza Masha anacheza timu gani huko ulaya??...wakidhani anakipiga majuu kwa kiwango alichoonyesha.....walipoambiwa anakipiga humu humu ndani,Simba Sport Club ....jamaa walichoka..
Unaona aibu kwani umekonkiwa????Mkuu hiki ulichokiandika aibu naona mimi. Tafuta kigezo kingine hiki hapana.