brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
- Thread starter
- #41
Mkuu kwa maelezo yako hata Humud aliwahi kumzibiti Yaya toure taifa stars ilivyocheza na Ivory coast,Sasa Itakuwa mahakama hii,,, anyway machache katika mengi kuna wakati ilikuja timu ya taifa ya Ghana The Black Stars kucheza na taifa stars miaka ya 90 huko.... Hussein Aman Masha alikuwa ni kiungo wa kati siku hiyo....aliwadhibiti na kuwakimbiza nyota wa Ghana waliokuwa wakicheza huko ulaya..... mwishoni mwa gem .....wale jamaa waliuliza Masha anacheza timu gani huko ulaya??...wakidhani anakipiga majuu kwa kiwango alichoonyesha.....walipoambiwa anakipiga humu humu ndani,Simba Sport Club ....jamaa walichoka..
Hizi story hazionyeshi records zozote