barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Simba imekuwa bora mkuu, usipingane na hili. Angalia point walizofikisha ukilinganisha na bingwa wa misimu iliyopita.Kuisifu Simba kufanya vizuri kwa sababu ya usajili wa bilioni 1.3 ni kupotoka. Ukweli ni kwamba kile si kikosi cha hicho kiasi cha fedha.
Simba amechukua kombe msimu huu si kwa sababu ina kikosi bora, bali ni kwa sababu ya ubovu wa washindani wake (hususani Yanga na Azam)
Back to the topic. Tatizo la Yanga ni kubwa kuliko usajili wa msimu unaokwisha, tatizo la Yanga mfumo mbovu wa kutegemea fedha za mtu ili kuendesha timu.
Bado unarudi pale pale. Kama sababu ni ubovu wa washindani wake, kuna namna nyingine ya kuondoa ubovu huo zaidi ya kuwekeza katika kikosi? Kumbuka, huo uwekezaji unapangiwa bajeti si ya usajili tu, bali hadi malipo ya mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi. Hao ndio direct labor. Sasa huo mfumo wa uwekezaji uwe rasmi na kutambulika kisheria, kama ni hisa au vinginevyo, sio mambo yategemee mawazo au uamuzi wa mtu mmoja...
Simba amechukua kombe msimu huu si kwa sababu ina kikosi bora, bali ni kwa sababu ya ubovu wa washindani wake (hususani Yanga na Azam).
Wamekuwa bora ukilinganisha na nani? Kama ni bora kuliko simba ya msimu uliopita nitakubaliana na wewe. Lakini ninaomba uniruhusu nikatae kwa nguvu zote kwamba akina boko ni kikosi cha bilioni 1.3.Simba imekuwa bora mkuu, usipingane na hili. Angalia point walizofikisha ukilinganisha na bingwa wa misimu iliyopita.
Uwekezaji wa bilioni 1.3 hauusiki na fedha za mishahara, zile ni fedha za usajili tu....kwa mujibu msemaji wa simba, utanisahihisha kama msemaji wa Simba katoa takwimu Mpya, nyingine. Hivyo uwekezaji ninaongelea ni huo wa usajili.Bado unarudi pale pale. Kama sababu ni ubovu wa washindani wake, kuna namna nyingine ya kuondoa ubovu huo zaidi ya kuwekeza katika kikosi? Kumbuka, huo uwekezaji unapangiwa bajeti si ya usajili tu, bali hadi malipo ya mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi. Hao ndio direct labor. Sasa huo mfumo wa uwekezaji uwe rasmi na kutambulika kisheria, kama ni hisa au vinginevyo, sio mambo yategemee mawazo au uamuzi wa mtu mmoja
Hahaaaaaaa yanga mwaka 2015-16 ilichukua ubingwa na point 72. So simba angevuka hapo tungekubali. Simba kachukua ubingwa kwa uzembe au kupotea kwa wapinzani wake yanga na Azam ila sio kwa usajili mzuri. Maana wafugaji mnao wawili tu unadhani ungekuwa vizuri kwa kupotea wa watani zako ulipaswa uwe na magoli zaidi ya 60Simba imekuwa bora mkuu, usipingane na hili. Angalia point walizofikisha ukilinganisha na bingwa wa misimu iliyopita.
Vyura wameususia Uzi wako Kama walivyoisusia kandambili fc!
Kwa ufupi Mimi natamani njaaa iendelee mpaka msambaratike na timu lenu lifeee! Na mwakani lishuke daraja rasmi! Shuuubamit!
[HASHTAG]#Kima[/HASHTAG] wa Taifa#
Sio misimu mnne ni misimu 5 hamjulikani mnashiriki ligi ganiMimi ni simba damu ila huu mjadala nauvamia kibabe kabisa, mmetuonea sana misimu minne mfululizo,. Sasa nasema hivi nawaombea njaa iendelee kulitafuna litimu lenu na jumatano taifa mfungwe 4G nyingine.
Eti kikosi kuliko cha simba kwani viongozi ndo wanacheza Mpira? . hebu kubarini tu msimu huu mmekuwa vibogoyo hamna meno.Tatizo la yanga ni uongozi, kile kikosi ni kizuri kuliko hata cha Simba
Kwa nini watani waonekane kuwa na haki ya kupotea? Kwa nini ni sawa kwa Yanga kuwa na magoli 40, lakini si sawa kwa Simba kuwa na magoli 60?...Maana wafugaji mnao wawili tu unadhani ungekuwa vizuri kwa kupotea wa watani zako ulipaswa uwe na magoli zaidi ya 60
Zungumzia msimu huu, maana mleta mada amefungua uzi kutathmini Yanga ilipokwama msimu huu wa 2017/2018, na wala hajasema tutathmini misimu iliyopitaSio misimu mnne ni misimu 5 hamjulikani mnashiriki ligi gani
naona vyura mnalialia tu ha ha ha ngoja tuingie mpaka ndani........Wapige chabo [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Hahaaaaaaa yanga mwaka 2015-16 ilichukua ubingwa na point 72. So simba angevuka hapo tungekubali. Simba kachukua ubingwa kwa uzembe au kupotea kwa wapinzani wake yanga na Azam ila sio kwa usajili mzuri. Maana wafugaji mnao wawili tu unadhani ungekuwa vizuri kwa kupotea wa watani zako ulipaswa uwe na magoli zaidi ya 60
Hata Yanga ilichukua ubingwa miaka hiyo sababu Simba ilikuwa hoi kifedha.Hahaaaaaaa yanga mwaka 2015-16 ilichukua ubingwa na point 72. So simba angevuka hapo tungekubali. Simba kachukua ubingwa kwa uzembe au kupotea kwa wapinzani wake yanga na Azam ila sio kwa usajili mzuri. Maana wafugaji mnao wawili tu unadhani ungekuwa vizuri kwa kupotea wa watani zako ulipaswa uwe na magoli zaidi ya 60