barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Simba imekuwa bora mkuu, usipingane na hili. Angalia point walizofikisha ukilinganisha na bingwa wa misimu iliyopita.Kuisifu Simba kufanya vizuri kwa sababu ya usajili wa bilioni 1.3 ni kupotoka. Ukweli ni kwamba kile si kikosi cha hicho kiasi cha fedha.
Simba amechukua kombe msimu huu si kwa sababu ina kikosi bora, bali ni kwa sababu ya ubovu wa washindani wake (hususani Yanga na Azam)
Back to the topic. Tatizo la Yanga ni kubwa kuliko usajili wa msimu unaokwisha, tatizo la Yanga mfumo mbovu wa kutegemea fedha za mtu ili kuendesha timu.