Mjadala: Mwalimu kuvaa hivi Darasani ni sawa?

Mjadala: Mwalimu kuvaa hivi Darasani ni sawa?

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
11043073_1167549333259483_8783529554396739833_n.png
 
Ni sawa kabsa kama unazo picha za wafanya kazi wa bot weka tuone.
 
Kwani kuna tatizo gani hapo kwa uvaaji wa huyo mwalimu?

Tiba
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie pia sioni tatizo kama anafundisha kokote kule, wenye matatizo ya Mwalimu kuvaa hivi darasani wana lao jambo. Nimeukuta huu mjadala mtandaoni na kuamua kuuleta hapa.

Kwani kuna tatizo gani hapo kwa uvaaji wa huyo mwalimu?

Tiba
 
Ningefundishwa na mwalimu kama huyo walahi ningegonga A masomo yote na saa hivi nsingekuwa nabeba boksi.

Mahudhurio yangu nayo yangekuwa 'perfect' kabisa.

Gademu! Walikuwa wapi walimu wa hivi enzi zetu?

Pale Shybush enzi hizo tulikuwa naye kama huyo misonge ya Geography ilirindima kila mwaka !!!
 
Mie pia sioni tatizo kama anafundisha kokote kule, wenye matatizo ya Mwalimu kuvaa hivi darasani wana lao jambo. Nimeukuta huu mjadala mtandaoni na kuamua kuuleta hapa.

Kama huoni tatizo kwa nn ukauleta Huku
 
Kumbe muonekano wa Mwalimu unasaidia eeh! Kwa Wanafunzi kufanya vizuri.

...pale Shybush enzi hizo tulikuwa naye kama huyo misonge ya Geography ilirindima kila mwaka !!!
 
Back
Top Bottom