Mjadala: Mwalimu kuvaa hivi Darasani ni sawa?

Mjadala: Mwalimu kuvaa hivi Darasani ni sawa?

Sio sahihi wanafunzi watajikita zaidi kumuangalia badala ya kuzingatia masomo taaluma ya ualimu huzingatia sana mwonekano wa Mwalimu kama vile ambavyo mwonekano wa mwanafunzi huzingatiwa.

hebu fikiria kama unaweza kumruhusu mwanafunzi wa kike avae hivyo na asimame mbele au akae lazima kutakuwa na shida.
 
Hmmmmm lol! hahahahaha ngoja nifuatilie nikifanikiwa nitakujuza mnaweza mkarudi darasani wote wewe ni mwanao 🙂🙂 huku ukiambia shule husika hilo somo huwa unalipenda sana hivyo wakuruhusu ulisome tena japo muhula mmoja tu 🙂

Mkuu BAK unaweza kufanya utafiti na kujua huyo ni mwalimu wa shule gani ya awali..? Ninataka kumpeleka mwanangu akafundishwe na mwalimu kama huyu.. Ninaamini nitakuwa na moyo wa kufuatilia maendeleo ya mwanangu..
 
11043073_1167549333259483_8783529554396739833_n.png
Heshima yako mkuu lakini huu uvaaji siyo sahihi kwa sababu mwalimu anasababisha vishawawishi kwa wanafunzi .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni sawa kuwa heshima ya mavazi ni muhimu ila wewe kama mwanafunzi unawaza nini wakati wa somo??? Je akili ni katika kujifunza au kutathmini mavazi ya mwalimu wako??? Labda tuseme au tukubali kuwa tuna udhaifu kwenye fikra zetu......
 
Heshima ikurudie Mkuu. Baadhi ya wachangiaji wamedai vishawishi vya kuhudhuria darasa na kufanya vizuri kwenye somo la huyu Mwalimu. Je, ungependelea kuona Mwalimu huyu anavaa baibui ili Wanafunzi wake wasione majaliwa yake toka kwa Muumba wetu!?

Heshima yako mkuu lakini huu uvaaji siyo sahihi kwa mwalimu unasababisha vishawawishi kwa wanafunzi .
 
Heshima ikurudie Mkuu. Baadhi ya wachangiaji wamedai vishawishi vya kuhudhuria darasa na kufanya vizuri kwenye somo la huyu Mwalimu. Je, ungependelea kuona Mwalimu huyu anavaa baibui ili Wanafunzi wake wasione majaliwa yake toka kwa Muumba wetu!?

Yapo mavazi ya heshima ya kufundishia .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ha ha ha swadaktaaa mara moja moja sio mbaya kuwahamasisha wanafunzi wasimiss kipindi ukivaa hvo darasa linajaa ha ha ha

Ila kwenye matumizi ya ubao kafeli, manake hapo akiandika huo mtikisiko huko nyuma hatari....
Alitakiwa akae upande hapoo....hahahaaa
 
Kuna mmoja nikiwa O level jamaa walimkataa kisa vinguo kama hivi.

Alipohama na mimi nikahama hiyo shule ilikuwa balaa tu yaani full burudani.
 
Back
Top Bottom