Mjadala: Mwalimu kuvaa hivi Darasani ni sawa?

Mjadala: Mwalimu kuvaa hivi Darasani ni sawa?

Kumbe muonekano wa Mwalimu unasaidia eeh! Kwa Wanafunzi kufanya vizuri.

Ala! Usidhani ni masikhara bana.

Mi ningefundishwa na ticha kama huyo leo ningekuwa bonge moja la rocket scientist NASA huko...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Teacher km huyu si miss kipindi akiyamama wanawake hawajielewi sasa anawatega wanafunzi
 
......Huyu hatakiwi kushika chaki anatakiwa kuwa Naibu wa Wizara ya Elimu au Mkuu wa Wilaya ya ya ya .....

11043073_1167549333259483_8783529554396739833_n.png

ngoja niwasiliane na mkulu ampe wilaya.
 
kwanza ningekua sisinzii darasani nawahi kila siku halafu nakaa mbele
hivi ambavyo nilikua sivifanyi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
sio sawa.... ..
alafu mandhari yanaonesha ni shule ya English medium primary school...
 
Halafu kwenye kuta za hilo darasa kwenye beam kuna picha picha, yawezekana ni nursery school!
 
enz za mwalimu jk walimu walijulikana kwa uvaaji wao viatu vina masoli ya hovyo na yaloisha upande
Manguo marefuu na mapana
Nywele zinachanwa kuelikea mbele
 
...lakini kweli aisee kuna Mwaimu wangu mmoja wa kihindi alikuwa bomba sana halafu alikuwa kaolewa na mswahili alikuwa anaitwa Mrs Kileo aisee Mungu alimuumba yule mdada na mswahili alimuibua kule kule kwao India. Nakumbuka story za Wanafunzi kuhusu yeye hakuna aliyetaka kufanya vibaya kwenye somo lake, nakweli somo lake watu walifanya vizuri kuliko somo lolote. Alikuwa kaumbika kila sehemu ya mwili wake na mguu wa uhakika na macho yake pia duh!!!! Darasa letu kulikuwa na mijamaa kwa utoro ndio yenyewe lakini kipindi chake kila mwanafunzi alikuwa hataki kukikosa.

Ala! Usidhani ni masikhara bana.

Mi ningefundishwa na ticha kama huyo leo ningekuwa bonge moja la rocket scientist NASA huko...
 
Maami,

Kwani ulisomea wapi? Yaani huko shule hakukuwa na MIZIGO kama hiyo?

Msalato lilikuwepo Zigo moja linaitwa Mama Manofu sijui, khaaa!!! Michezo ya Umiseta, ilikuwa lazima nikawaangalie Msalato wakicheza Netball na yeye ndiyo Mwalimu sasa wa michezo.

Mazengo ilikuwepo Mizigo kadhaa, ila kiboko ilikuwa Mama wa Kihangaza na wa Kihaya. Mhaya alikuwa akifundisha Historia na akaja kutufundisha kuhusu Mtemi "NYUNGU ya Mawe" basi kutoka hapo akaitwa Mwalimu Nyungu ya Mawe.
Huyu Mhangaza kwa kweli alikuwa ni MZIGO kwelikweli, siyo huyo hapo ubaoni.

Hivi kuna mtu hapa alifundishwa na Mwalimu First Lady akiwa Lindi? Just asking maana mhhhh.......



Ningefundishwa na mwalimu kama huyo walahi ningegonga A masomo yote na saa hivi nsingekuwa nabeba boksi.

Mahudhurio yangu nayo yangekuwa 'perfect' kabisa.

Gademu! Walikuwa wapi walimu wa hivi enzi zetu?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli kabisa Mkuu, huyu Mamaa alitakiwa kufundisha INTEGRATION yaani SUM UP na kinyume chake yaani Differentiate.

Huyu Mamaa kama ni Mhaya au Mtusi, wakati anaandika hiyo TINGISHA huko nyuma ni SHEEDAHH....

Mafunzo kwa mifano halisi, hapo wanafunzi wanaona jinsi 'collection' inavyokuwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK,

Hii miraba katika nguo zake za ndani sehemu ya kuketia Inanisumbuaga sana
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa...nimecheka sana. Daah!!! Hapo mwanafunzi baada ya kuangalia ubaoni anaangalia mengine.

Haangalii mengine tu anaangalia na kuwaza! Halafu somo lenyewe kuna sentensi inasema "A bunch of flowers". Huko vyuoni si tunafundishwa jinsi ya kuvaa nyakati fulani fulani?
 
Hivi aliyempiga hiyo picha alikuwa CAMERAMAN au MWanafunzi? kama ni ameraman alikuwa anatafuta nini darasani watoto wanasoma? na kama ni mwanafunzi, ni sawa?
 
Mkuu BAK unaweza kufanya utafiti na kujua huyo ni mwalimu wa shule gani ya awali..? Ninataka kumpeleka mwanangu akafundishwe na mwalimu kama huyu.. Ninaamini nitakuwa na moyo wa kufuatilia maendeleo ya mwanangu..
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom