Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kumbe muonekano wa Mwalimu unasaidia eeh! Kwa Wanafunzi kufanya vizuri.
......Huyu hatakiwi kushika chaki anatakiwa kuwa Naibu wa Wizara ya Elimu au Mkuu wa Wilaya ya ya ya .....
Ala! Usidhani ni masikhara bana.
Mi ningefundishwa na ticha kama huyo leo ningekuwa bonge moja la rocket scientist NASA huko...
Ningefundishwa na mwalimu kama huyo walahi ningegonga A masomo yote na saa hivi nsingekuwa nabeba boksi.
Mahudhurio yangu nayo yangekuwa 'perfect' kabisa.
Gademu! Walikuwa wapi walimu wa hivi enzi zetu?
... Alikuwa kaumbika kila sehemu ya mwili ......
Mafunzo kwa mifano halisi, hapo wanafunzi wanaona jinsi 'collection' inavyokuwa.
Ha ha haaa...nimecheka sana. Daah!!! Hapo mwanafunzi baada ya kuangalia ubaoni anaangalia mengine.
Teacher km huyu si miss kipindi akiyamama wanawake hawajielewi sasa anawatega wanafunzi