Mkuu BAK unaweza kufanya utafiti na kujua huyo ni mwalimu wa shule gani ya awali..? Ninataka kumpeleka mwanangu akafundishwe na mwalimu kama huyu.. Ninaamini nitakuwa na moyo wa kufuatilia maendeleo ya mwanangu..
Hahahaaa Evelyn Salt njoo ujionee
Naona mnalazimisha kuupata ukuu wa wilaya.
Heshima yako mkuu lakini huu uvaaji siyo sahihi kwa sababu mwalimu anasababisha vishawawishi kwa wanafunzi .
Tena mwanafunzi anaelewa zaid
Heshima yako mkuu lakini huu uvaaji siyo sahihi kwa mwalimu unasababisha vishawawishi kwa wanafunzi .
Sawa tu
Heshima ikurudie Mkuu. Baadhi ya wachangiaji wamedai vishawishi vya kuhudhuria darasa na kufanya vizuri kwenye somo la huyu Mwalimu. Je, ungependelea kuona Mwalimu huyu anavaa baibui ili Wanafunzi wake wasione majaliwa yake toka kwa Muumba wetu!?
ha ha ha swadaktaaa mara moja moja sio mbaya kuwahamasisha wanafunzi wasimiss kipindi ukivaa hvo darasa linajaa ha ha ha