Mjadala Mzito: Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki (Leo Kwenye Space 04 Dec 2024 19:00 East Africa )

Mjadala Mzito: Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki (Leo Kwenye Space 04 Dec 2024 19:00 East Africa )

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu
Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki

Sote tunakaribishwa:

Wazungumzaji nguli watakuwepo.

1733323644046.png

Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
 
Mambo yatakayo ongelewa:​

  1. Jiografia na Miundombinu Bora
  2. Utajiri wa Maliasili
  3. Amani na Utulivu wa Kisiasa
  4. Soko Kubwa
  5. Mchango Katika Biashara ya Kikanda
  6. Lugha ya Kiswahili
 
Back
Top Bottom