Mjadala Mzito: Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki (Leo Kwenye Space 04 Dec 2024 19:00 East Africa )
Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu
Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki
Sote tunakaribishwa:
Wazungumzaji nguli watakuwepo.
Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
Naomba Mods
Active ikifika muda iwekwe LIVE
Mambo yatakayo ongelewa:
- Jiografia na Miundombinu Bora
- Utajiri wa Maliasili
- Amani na Utulivu wa Kisiasa
- Soko Kubwa
- Mchango Katika Biashara ya Kikanda
- Lugha ya Kiswahili