Mjadala: Nandy na Zuchu nani mkali?

Niliitizama yote na hata marudio yake ya jana.
Embu tuambie anaimba miziki ya aina ngapi?
 
Zuchu ni hatari sana Nandy Tumpe muda zuchu sahivi yuko na 4yrs kweny game wakat nandi yuko na 2yrs
 
Ningekuona una akili kama ungempambanisha ZUCHU na ABBY_CHAMS

sio kumkosea heshima Nandy ambae yupo level zingine kabisa yani kimuziki

Zuchu na Abby wote wameimba super woman,wote ni level moja wapambanishe hawa uone

Huyu ndio Abby👇


zuchu nadhani anajulikana,ila ligi ya zuchu ingetakiwa iwekwe kundi na huyu Abby.
 
Nasisitiza tu
 
Yes tumpe Zuchu mwaka mmoja ndiyo tufikifikirie wa kumshindanisha naye.

Kwa hizi nyimbo kadhaa alizotoa namuona Zuchu ni Mbosso wa kike.
 
Kwasasa bado sana kumpambanisha na nandy, halafu naona wanafanya hiyo kumpaisha so haina noma
 
kati ya nandy na zuchu nani anatakiwa apewe cheo hiko.
mimi naona kama zuchu kaja vizuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji5][emoji5]
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…