Mjadala: Nandy na Zuchu nani mkali?

Mjadala: Nandy na Zuchu nani mkali?

Huko ndiyo tunaita kupotosha umma, umeongea vizur kasoro ni pale tu uliposema Zuchu anaimba mziki wa aina moja, Kama ulifatilia official lounge yake alipokua akihojiwa usingesema hayo maneno

Tumpe muda Kwanza at least a year Kama atakua akiimba tu hiyo baibuda bila kubadilika basi comment yako itakua proved lakin siyo fair for an EP unakuja na assumption.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliitizama yote na hata marudio yake ya jana.
Embu tuambie anaimba miziki ya aina ngapi?
 
Zuchu ni hatari sana Nandy Tumpe muda zuchu sahivi yuko na 4yrs kweny game wakat nandi yuko na 2yrs
 
Ningekuona una akili kama ungempambanisha ZUCHU na ABBY_CHAMS

sio kumkosea heshima Nandy ambae yupo level zingine kabisa yani kimuziki

Zuchu na Abby wote wameimba super woman,wote ni level moja wapambanishe hawa uone

Huyu ndio Abby👇
f42764d047b555be891013febd44ae684d6a4971.jpg

zuchu nadhani anajulikana,ila ligi ya zuchu ingetakiwa iwekwe kundi na huyu Abby.
 
Nandy Anaelekea kuwa legend, Zuchu ndio kwanza anaanza. Ili uitwe legendary kwenye muziki ni lazima uwepo kwenye game kwa 15 years.

Zuchu ni mwandishi, Nandy sio mwandishi.
Nandy ni best vocalist anaweza kuimba styles zote mfano R&B, Gospel na Rumba.
Zuchu ni limited kwa aina ya muziki anaoufanya Baibuda.
.
all in all kumlinganisha Nandy na Zuchu ni kumkosea heshima Nandy ni sawa na kumlinganisha Torry lanez na Jay z people will call you mad!
Nasisitiza tu
 
Huko ndiyo tunaita kupotosha umma, umeongea vizur kasoro ni pale tu uliposema Zuchu anaimba mziki wa aina moja, Kama ulifatilia official lounge yake alipokua akihojiwa usingesema hayo maneno

Tumpe muda Kwanza at least a year Kama atakua akiimba tu hiyo baibuda bila kubadilika basi comment yako itakua proved lakin siyo fair for an EP unakuja na assumption.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes tumpe Zuchu mwaka mmoja ndiyo tufikifikirie wa kumshindanisha naye.

Kwa hizi nyimbo kadhaa alizotoa namuona Zuchu ni Mbosso wa kike.
 
Kwasasa bado sana kumpambanisha na nandy, halafu naona wanafanya hiyo kumpaisha so haina noma
 
kati ya nandy na zuchu nani anatakiwa apewe cheo hiko.
mimi naona kama zuchu kaja vizuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji5][emoji5]
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom