Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Niliitizama yote na hata marudio yake ya jana.Huko ndiyo tunaita kupotosha umma, umeongea vizur kasoro ni pale tu uliposema Zuchu anaimba mziki wa aina moja, Kama ulifatilia official lounge yake alipokua akihojiwa usingesema hayo maneno
Tumpe muda Kwanza at least a year Kama atakua akiimba tu hiyo baibuda bila kubadilika basi comment yako itakua proved lakin siyo fair for an EP unakuja na assumption.
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu tuambie anaimba miziki ya aina ngapi?