Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa maana uzeeni hilo nenoKulea uzeeni sio shida. Muhimu ni kuhakikisha una 'nguvu' ya kulea hadi uzeeni.
Key word: Nguvu.
Hilo nalo neno, kuna raha ya kuzaa na kulea mapema. ila hiyo ya kuzalisha nje siafikiani nalo kwakweli.Kitu kingine kikubwa utakuja kuwa na watoto ambayo utawalea hadi uzeeni mwako wakiwa bado wadogo
(Hilo ndio kubwa ninaloliogopa kwangu )/
Labda kama ushazalisha nje walau 1#
Kusoma na kuelewa ni kazi sana. Neno nguvu nimeliwekea 'nguvu'....maanake sio nguvu unayoijua wewe,misuli! Ni nguvu ya 21st century MONEY.....Unaelewa maana uzeeni hilo neno
[Ukiwa mzee nguvu unatoa wapi babu] uchumi unaanza kushuka na unakuwa na mawazo ambayo hayaendan na wakati
Umenichekesha mno! Yaani kama ulikuwepo vile............mwisho wa siku huwa nawaambia kama ndoa zenyewe ndo hizo,wacha niendelee kuzeeka zeeka kwanza!"Jamani kwanini haujaolewa!! Unachagua sana jamani!!"
Utadhani wao walijibebea tu. Alafu akijisahau anaanza kukuelezea majanga yake na kukutamania wewe ambae haujaolewa basi tafrani tu!!
Haya mambo bwana!!!
Ndio ile ana vigezo unavyovitaka ila hauna vigezo vyake maybe!!Huyo bana mimi alinipiga kibuti....sasa hivi ningekuwa nishaoa! Muache aendelee kuchagua!
Kaka uzee ni ugonjwa to my side na familia zetu za kibongo hizii ila kila mmoja anao uono wake ,angalia matajir wanapokuw wazee wakibongo uone maendeleo. YakoKusoma na kuelewa ni kazi sana. Neno nguvu nimeliwekea 'nguvu'....maanake sio nguvu unayoijua wewe,misuli! Ni nguvu ya 21st century MONEY.....
Hahahaaaa! Hiyo nguvu kama nimeielewa hivi[emoji85] [emoji85] [emoji85]Kulea uzeeni sio shida. Muhimu ni kuhakikisha una 'nguvu' ya kulea hadi uzeeni.
Key word: Nguvu.
Hii ni nguvu ambayo wewe na miss chagga mnasisitiza vijana wawe nayo.Hahahaaaa! Hiyo nguvu kama nimeielewa hivi[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Wacha aniunganishe na huyo jamaa yake,maana nahisi wewe bado hujafikia huo umri niutakao!Kinachoniuma ni kukwambia akuunganishe sijui na nani wakati mimi nipo hapa!
AiseeSwahiba bado unasubiri mama mkwe azaliwe?
Kwa 'nguvu' hiyo utampata tu umtakaye hata kama utakuwa na miaka 60Kusoma na kuelewa ni kazi sana. Neno nguvu nimeliwekea 'nguvu'....maanake sio nguvu unayoijua wewe,misuli! Ni nguvu ya 21st century MONEY.....
Ukijibu hivyo anaanza tena kukupa mifano ya ndoa zilizoshindikana mwisho uzeeni wakaelewana, unabaki unajiuliza "hivi hapo ndio anaona ananisaidia au anaharibu maana unajua raha ya ndoa utaipata uzeeni duuh!!"Umenichekesha mno! Yaani kama ulikuwepo vile............mwisho wa siku huwa nawaambia kama ndoa zenyewe ndo hizo,wacha niendelee kuzeeka zeeka kwanza!
Ohoooh! Kumbe wanatakiwa watoe kauli gani?Nasikia ukishampata ulieridhika nae ukampeleka kwa ndugu zako sikiliza kauli zao.. wakikuambia sawa baba kama umemchagua huyu, kikubwa ni upendo ujue hapo demu wako ni mbaya..
Wewe mpeleke mwenye chura tu alafu uje kutupa mrejesho hapaOhoooh! Kumbe wanatakiwa watoe kauli gani?