MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Kulea uzeeni sio shida. Muhimu ni kuhakikisha una 'nguvu' ya kulea hadi uzeeni.
Key word: Nguvu.
Unaelewa maana uzeeni hilo neno

[Ukiwa mzee nguvu unatoa wapi babu] uchumi unaanza kushuka na unakuwa na mawazo ambayo hayaendan na wakati
 
Unaelewa maana uzeeni hilo neno

[Ukiwa mzee nguvu unatoa wapi babu] uchumi unaanza kushuka na unakuwa na mawazo ambayo hayaendan na wakati
Kusoma na kuelewa ni kazi sana. Neno nguvu nimeliwekea 'nguvu'....maanake sio nguvu unayoijua wewe,misuli! Ni nguvu ya 21st century MONEY.....
 
"Jamani kwanini haujaolewa!! Unachagua sana jamani!!"
Utadhani wao walijibebea tu. Alafu akijisahau anaanza kukuelezea majanga yake na kukutamania wewe ambae haujaolewa basi tafrani tu!!
Haya mambo bwana!!!
Umenichekesha mno! Yaani kama ulikuwepo vile............mwisho wa siku huwa nawaambia kama ndoa zenyewe ndo hizo,wacha niendelee kuzeeka zeeka kwanza!
 
Huyo bana mimi alinipiga kibuti....sasa hivi ningekuwa nishaoa! Muache aendelee kuchagua!
Ndio ile ana vigezo unavyovitaka ila hauna vigezo vyake maybe!!
Haya mambo mgumu sana.

Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ilitakiwa wanawake eti tusiwe na choices yaani mwanaume akiona una vigezo anavyovitaka basi kubali olewa fullstop!! Eti kuchagua chagua tunawafanya mchelewe kuoa.
 
Kusoma na kuelewa ni kazi sana. Neno nguvu nimeliwekea 'nguvu'....maanake sio nguvu unayoijua wewe,misuli! Ni nguvu ya 21st century MONEY.....
Kaka uzee ni ugonjwa to my side na familia zetu za kibongo hizii ila kila mmoja anao uono wake ,angalia matajir wanapokuw wazee wakibongo uone maendeleo. Yako
 
Kaka uzee ni ugonjwa to my side na familia zetu za kibongo hizii ila kila mmoja anao uono wake ,angalia matajir wanapokuw wazee wakibongo uone maendeleo. Yako
Sawa mkuu.
 
Nasikia ukishampata ulieridhika nae ukampeleka kwa ndugu zako sikiliza kauli zao.. wakikuambia sawa baba kama umemchagua huyu, kikubwa ni upendo ujue hapo demu wako ni mbaya..
 
Kusoma na kuelewa ni kazi sana. Neno nguvu nimeliwekea 'nguvu'....maanake sio nguvu unayoijua wewe,misuli! Ni nguvu ya 21st century MONEY.....
Kwa 'nguvu' hiyo utampata tu umtakaye hata kama utakuwa na miaka 60
 
Umenichekesha mno! Yaani kama ulikuwepo vile............mwisho wa siku huwa nawaambia kama ndoa zenyewe ndo hizo,wacha niendelee kuzeeka zeeka kwanza!
Ukijibu hivyo anaanza tena kukupa mifano ya ndoa zilizoshindikana mwisho uzeeni wakaelewana, unabaki unajiuliza "hivi hapo ndio anaona ananisaidia au anaharibu maana unajua raha ya ndoa utaipata uzeeni duuh!!"

Huwa nafikiri hakuna asiependa kuwa na familia bora,hata wale ambao huwa wanachukua maamuzi ya kutokuoa au kuolewa, awali walifikiria vinginevyo ila baadae mambo yakawa sio mambo ndio ikawa vile tena.
 
Nasikia ukishampata ulieridhika nae ukampeleka kwa ndugu zako sikiliza kauli zao.. wakikuambia sawa baba kama umemchagua huyu, kikubwa ni upendo ujue hapo demu wako ni mbaya..
Ohoooh! Kumbe wanatakiwa watoe kauli gani?
 
Ahhahaah kweli aisee yaan sahv wasichana wana watoto mpk inakera unakuta binti mzuuri unamlia mingo kwenye target paaa.. kumbe ana mtto au watto.
 
Back
Top Bottom