MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Vijana wengi wadogo hawajui. Kuna umri unafika unaanza 'kupoteza' marafiki. Watu wako busy na familia(wale unaolingana nao umri) mwisho wa siku unaanza ku-hang out na vijana wadogo kuliko wewe kwasababu ndio wanaopatika kirahisi.
 
Kweli nimeelewa kwanini mkulu alisema yeye hashauriki............maana binadamu ni kivuli cha kugeuka geuka!
 
Vijana wengi wadogo hawajui. Kuna umri unafika unaanza 'kupoteza' marafiki. Watu wako busy na familia(wale unaolingana nao umri) mwisho wa siku unaanza ku-hang out na vijana wadogo kuliko wewe kwasababu ndio wanaopatika kirahisi.
Kabisa japo hao wadogo nao yataka moyo kujichanganya nao..............kizazi chenyewe hiki cha dotkom
 
Kwanzaa watu wanashindwa kuelewa kwamba kuoa au kuolewa sio swala la Msingi sana, kwa dunia ya technology ya sasa.
Kwa sababu huduma nyingi ambazo watu wanazipata katika ndoa zinapatikana pia katika maisha yetu haya.
Hasa hasa kwa sehemu za mijini
 
Usioe kwa kuogopa maneno ya watu,oa kwa kuwa unaona sasa yafaa kuoa. Hayo ni maisha yako,ishi uwezavyo usiishi watakavyo!
Kosa kubwa sana kuoa under pressure.
 
Ila jaman kwa hali ya sasa unaweza ukawahi kuoa kumbe ukawa umewaolea wenzako maisha yenyewe haya ya mwendokasi kila siku afadhali ya jana
Mi nashauri kama hujajipanga vizuri usioe kama mimi ila kama utaona levo ya maisha uliyonayo unajitosheleza kwa huduma zote zako na za mwenza basi oa tu
 
Mbona wapo tuu kitaa? Au ndo hyo ya kuchagua sana. Kila la heri upate atakae kufaa na kukidhi hitaji lako la moyo.
 
Vijana wengi wadogo hawajui. Kuna umri unafika unaanza 'kupoteza' marafiki. Watu wako busy na familia(wale unaolingana nao umri) mwisho wa siku unaanza ku-hang out na vijana wadogo kuliko wewe kwasababu ndio wanaopatika kirahisi.
Nimependa hapo
Waweza jikuta walala ndani weekend nzima
 
mwanaume ni hela tu hakuna umri wa kuoa!
mimi mwenyewe ni 48+yrs na nina "wachumba"watatu wote ni below 22
umaskini ndio unawafanya wanaume wengi wawahi kuoa....kama hela ipo hata 50+ yrs unapata mke...mzee ni maskini tajiri hazeeki!
 
Kwanzaa watu wanashindwa kuelewa kwamba kuoa au kuolewa sio swala la Msingi sana, kwa dunia ya technology ya sasa.
Kwa sababu huduma nyingi ambazo watu wanazipata katika ndoa zinapatikana pia katika maisha yetu haya.
Hasa hasa kwa sehemu za mijini
Inategemea ww ulieandika haya sahvi una umri gan? Ila ujue km mwanaume ulie kamilika muda ukifika utaona tuu.. na utakapo jua kazi ngumu y kumpata mke ilivyo. Ni tofaut kbs kumpata dem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…