RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #241
Vijana wengi wadogo hawajui. Kuna umri unafika unaanza 'kupoteza' marafiki. Watu wako busy na familia(wale unaolingana nao umri) mwisho wa siku unaanza ku-hang out na vijana wadogo kuliko wewe kwasababu ndio wanaopatika kirahisi.Ukijibu hivyo anaanza tena kukupa mifano ya ndoa zilizoshindikana mwisho uzeeni wakaelewana, unabaki unajiuliza "hivi hapo ndio anaona ananisaidia au anaharibu maana unajua raha ya ndoa utaipata uzeeni duuh!!"
Huwa nafikiri hakuna asiependa kuwa na familia bora,hata wale ambao huwa wanachukua maamuzi ya kutokuoa au kuolewa, awali walifikiria vinginevyo ila baadae mambo yakawa sio mambo ndio ikawa vile tena.