MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

mwanaume ni hela tu hakuna umri wa kuoa!
mimi mwenyewe ni 48+yrs na nina "wachumba"watatu wote ni below 22
umaskini ndio unawafanya wanaume wengi wawahi kuoa....kama hela ipo hata 50+ yrs unapata mke...mzee ni maskini tajiri hazeeki!
Kweli tuna mitazamo tofauti.
 
Nilitamani sana kuoa ila baada ya kutendwa hamu imeingia chooni.
Mtazamo wangu juu ya ndoa na mwanamke umebadilika but subirini kidogo maana huu uchumi bora nitoboe mwenyewe hadi mzunguko wa pesa utakapotengemaa kitaa.
Kuna MTU nasubiri ang'atuke ndio nipate nafasi ya kuoa
 
Inategemea ww ulieandika haya sahvi una umri gan? Ila ujue km mwanaume ulie kamilika muda ukifika utaona tuu.. na utakapo jua kazi ngumu y kumpata mke ilivyo. Ni tofaut kbs kumpata dem
Nimeshajua jinsi ilivyo ngumu kupata mke....tena umri ukipita kidogo!
 
Mmh.....!!!
 
Njoo nikubadilishie sister, hapo kwenye kukata Maua na fensi kuitengeneza, dah umenifurahisha sana
 
Njoo nikubadilishie sister, hapo kwenye kukata Maua na fensi kuitengeneza, dah umenifurahisha sana


hahahaha we haya !siku nikizuka mkoa wako heheh huna chako !napenda wewe kapeace acha tu !napenda sana men ajishughlishe kiume ! mie napenda gardening sana sijui kuprun majan bas tafuran shoga!had nikod mtu !mxiew
 
hahahaha we haya !siku nikizuka mkoa wako heheh huna chako !napenda wewe kapeace acha tu !napenda sana men ajishughlishe kiume ! mie napenda gardening sana sijui kuprun majan bas tafuran shoga!had nikod mtu !mxiew
Basi Mr angekufaa maana wikendi ndo huwa kazi yake, huwezi amini ye ndo amepanda na kutunza maua hapa home, mwanzo walisema nimempa limbwata baadae eti ooh mkeo unamdekeza sana, hahahaa saiv eti tunaishi kizungu hadi raha
 
Changamoto zinazochangiwa kutoolewa kwangu
  • Kuweza kuyamudu na kuishi maisha katika standardard ninayopenda on my own. (e.g take myself to trips, buy things and/or toys I want, build a crib and etc)
  • Experience za wanandoa wengine (friends, family including vilio vya wanandoa strangers in Jf)
  • Lack of patience and compromise. I'm generally allergic to BS and have zero tolerance kwa upuuzi ama visingizio visivyo na maana!! eg ohh nililewa, shetani alinipitia, demu alijileta and so on ....................not for me oooo(in my Naija voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…