Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tuna mitazamo tofauti.mwanaume ni hela tu hakuna umri wa kuoa!
mimi mwenyewe ni 48+yrs na nina "wachumba"watatu wote ni below 22
umaskini ndio unawafanya wanaume wengi wawahi kuoa....kama hela ipo hata 50+ yrs unapata mke...mzee ni maskini tajiri hazeeki!
Nimeshajua jinsi ilivyo ngumu kupata mke....tena umri ukipita kidogo!Inategemea ww ulieandika haya sahvi una umri gan? Ila ujue km mwanaume ulie kamilika muda ukifika utaona tuu.. na utakapo jua kazi ngumu y kumpata mke ilivyo. Ni tofaut kbs kumpata dem
Mmh.....!!!wanaume wenye age hizo jaman km anajitambua uwiii watamu mno !yaan unajikuta automatic unamheshim !mwanaume age hizo asbh akiamka weeknd utamkuta anafanya ht usafi nje garden napenda sana kumuona mume wangu ameshika mkasi anafanya kuprun maua nk ! yaan unajikuta moyo mweupeee unasema kweli nina mume ! atafanya usafi wa fence weee had asweat !sasa ww olewa na hawa wa 30-35!wasojitambua ! utakuwa unajing'ata tu midomo !akiamka anawaza akanywe wapi supu na tu-bia twa kuzugia weekend (wanasemaga hvyo,) pyeeeeeee! komaa utampata mamy !
Nipo shemasi wangu, tatizo hunitaki ndio maana naadimika[emoji12]umeadimika mzee wa kanisa !kwann umeguna
Nipo shemasi wangu, tatizo hunitaki ndio maana naadimika[emoji12]
Njoo nikubadilishie sister, hapo kwenye kukata Maua na fensi kuitengeneza, dah umenifurahisha sanawanaume wenye age hizo jaman km anajitambua uwiii watamu mno !yaan unajikuta automatic unamheshim !mwanaume age hizo asbh akiamka weeknd utamkuta anafanya ht usafi nje garden napenda sana kumuona mume wangu ameshika mkasi anafanya kuprun maua nk ! yaan unajikuta moyo mweupeee unasema kweli nina mume ! atafanya usafi wa fence weee had asweat !sasa ww olewa na hawa wa 30-35!wasojitambua ! utakuwa unajing'ata tu midomo !akiamka anawaza akanywe wapi supu na tu-bia twa kuzugia weekend (wanasemaga hvyo,) pyeeeeeee! komaa utampata mamy !
Kuna wenye khofu ya Mungu huamua kuoa/kuolewa mapema.Kwanzaa watu wanashindwa kuelewa kwamba kuoa au kuolewa sio swala la Msingi sana, kwa dunia ya technology ya sasa.
Njoo nikubadilishie sister, hapo kwenye kukata Maua na fensi kuitengeneza, dah umenifurahisha sana
Basi Mr angekufaa maana wikendi ndo huwa kazi yake, huwezi amini ye ndo amepanda na kutunza maua hapa home, mwanzo walisema nimempa limbwata baadae eti ooh mkeo unamdekeza sana, hahahaa saiv eti tunaishi kizungu hadi rahahahahaha we haya !siku nikizuka mkoa wako heheh huna chako !napenda wewe kapeace acha tu !napenda sana men ajishughlishe kiume ! mie napenda gardening sana sijui kuprun majan bas tafuran shoga!had nikod mtu !mxiew
Basi haina shida, tutaulizana vizuri tu[emoji134] [emoji134]Hili swali ilibidi nikuulize wewe...🙂🙂