MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Una miaka mingapi? Jua lisije kuzama ukaduwaa
 
Equality ipi unayotaka duuu wasomi wetu mnakazi sana
 
Haujapenda tu, siku ukitiwa tunduni, hutakuja kuomba maoni humu
 
Are u intimidating in any way?
Hapana mkuu..................I'm pretty chill and normal 🙂
I was just lucky enough to come to a realization very early on in my life that I am valid and worthy, with or without a man in my life! This I believe is one the main struggle for most of the ladies especially kwenye culture za kiafrica.
 
hii jamani nimejikuta asbh ya leo nampigia simu rafiki angu nimesomaga naye mbeye miaka hyoo namuuliza una watt wangap akasema hana ht 1 na hajaolewa nilijiskia vby ! sijui y nimerukia huko !dah
Pole hilo swali sio zuri kama mmepoteana long tym. Mbiti mbeya umesoma sekondari au primary?
 

Mazee ina maana hujaoa?

Mbona kama niliwahi kuambiwa kuwa una mke....

Au ndo yaleyale mambo ya JF ya watu kujifanya wanawajua watu humu kuliko wajijuavyo wenyewe???
 
Well...rafiki zangu watano(watatu wadogo kuliko mimi) ni mmoja tu ndoa yake ipo hadi leo. Lakini experience zao hazitaathiri uamuzi wangu kwenye suala hili.

So 80% ehh 😱.............then Sir, "I rest my case!"
 
Equality ipi unayotaka duuu wasomi wetu mnakazi sana
Bills tulipe wote, diaper to change wote, chakula tupike wote, just share "errythang"! Mind you doesnt have to be 50/50 but cant be 90/10 either. Simply put, I want a life partner vs. a daddy, a master, or a general!
 
Mazee ina maana hujaoa?

Mbona kama niliwahi kuambiwa kuwa una mke....

Au ndo yaleyale mambo ya JF ya watu kujifanya wanawajua watu humu kuliko wajijuavyo wenyewe???
Aisee ndio yale yale ndugu. Im a senior bachelor!
 
Naelekea Mwanjelwa kukata kitambaa. Dalili ya mvua.....
Unaenda maduka ya kwa Mfikemooo au ya kule kabwe kabisa?Baller anakaribia kuoa huyu,nitamtafutia jezi moja kuuubwa ya Larry Bird afu memba wa JF tunaisaini tunampa zawadi siku ya tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…