Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
26Wewe una miaka mingapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
26Wewe una miaka mingapi
Una miaka mingapi? Jua lisije kuzama ukaduwaaChangamoto zinazochangiwa kutoolewa kwangu
- Kuweza kuyamudu na kuishi maisha katika standardard ninayopenda on my own. (e.g take myself to trips, buy things and/or toys I want, build a crib and etc)
- Experience za wanandoa wengine (friends, family including vilio vya wanandoa strangers in Jf)
- Lack of patience and compromise. I'm generally allergic to BS and have zero tolerance kwa upuuzi ama visingizio visivyo na maana!! eg ohh nililewa, shetani alinipitia, demu alijileta and so on ....................not for me oooo(in my Naija voice)
Equality ipi unayotaka duuu wasomi wetu mnakazi sanaMimi ni mchoyo as well..........kidding of course. I am not looking to just "have a man" ni lazima kuwe an some added value otherwise ingekuwa ilimradi bora mume probably ningekuwa nisha olewa by now. I am a strong believer of equality;"tutunzane", "Tuoane"
Naweza kukuoa hatujatofautiana sana sasa kama una kinyaa ndugu za mumeo utawaudumia vipi?
Hapana mkuu..................I'm pretty chill and normal 🙂Are u intimidating in any way?
Pole hilo swali sio zuri kama mmepoteana long tym. Mbiti mbeya umesoma sekondari au primary?hii jamani nimejikuta asbh ya leo nampigia simu rafiki angu nimesomaga naye mbeye miaka hyoo namuuliza una watt wangap akasema hana ht 1 na hajaolewa nilijiskia vby ! sijui y nimerukia huko !dah
Haaaaaaa haya banaSasa mambo ya pm unayaleta humu[emoji35]
Habari za jumatatu,
Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;
1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.
2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.
3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.
Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Well...rafiki zangu watano(watatu wadogo kuliko mimi) ni mmoja tu ndoa yake ipo hadi leo. Lakini experience zao hazitaathiri uamuzi wangu kwenye suala hili.
Aiya, Kama kuzama lisha zama zamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani ...............38.Una miaka mingapi? Jua lisije kuzama ukaduwaa
Bills tulipe wote, diaper to change wote, chakula tupike wote, just share "errythang"! Mind you doesnt have to be 50/50 but cant be 90/10 either. Simply put, I want a life partner vs. a daddy, a master, or a general!Equality ipi unayotaka duuu wasomi wetu mnakazi sana
Ulisikia wapiMuongo wewe. Una miaka 25.
M'bichi sana weye Dina, hivi kumbe humu tuna-interact na vijana wadogo hivi...dah!
Bado halijazama, hata hivyo kuoa na kuolewa sio lazima, ili mradi tu uwe na amani ya moyo. You got kids?Aiya, Kama kuzama lisha zama zamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani ...............38.
Unaenda maduka ya kwa Mfikemooo au ya kule kabwe kabisa?Baller anakaribia kuoa huyu,nitamtafutia jezi moja kuuubwa ya Larry Bird afu memba wa JF tunaisaini tunampa zawadi siku ya tukio.Naelekea Mwanjelwa kukata kitambaa. Dalili ya mvua.....
We una miaka mingapi?M'bichi sana weye Dina, hivi kumbe humu tuna-interact na vijana wadogo hivi...dah!