Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ulisahau kuweka mwisho wa sentensi.hiyo dot unamaanisha nini shem
Sio uoga, ndo ukweli!!Amani mkuu kuwa huru katika maamuzi yako.
Acha uoaga wewe, nikwambie tu kitu kimoja ni kheri ulee mtoto ambae unajua kabisa sio wako tangu awali kuliko kulea mtoto ambae unajua ni wako kumbe sio wako na unakuja kujua baadae, utakufa kwa stroke na hii tabia mara nyingi ufanywa na hao mnao waona ni brand new
Inna kaniacha, alinishika ugoni. Kwa hio usijali wewe nipe tu hicho unachotaka kunipanimekumis sana ila namuheshimu sana Inna, sitaki kuona chozi lake
ila I miss you shem wangu
Habari za jumatatu,
Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;
1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.
2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.
3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.
Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Utamu wake nini?Ruka ruka weee Ila usikosee kuoa.....ndoa tamu asikwambie NTU
Na vyeti.Ha ha ha, ni noma.
Halafu unakuta unapo mweleza mtu kwamba hujaoa, huna mke hakubali. Mpaka uanze kutoa uthibitisho nk nk.
SwaChukua hatua!
Bills tulipe wote, diaper to change wote, chakula tupike wote, just share "errythang"! Mind you doesnt have to be 50/50 but cant be 90/10 either. Simply put, I want a life partner vs. a daddy, a master, or a general!
Anakufaa sana ukimwacha utajutraHuyu dada mmemkomalia!
Mkuu ultimatum ilinishinda................I just couldn't make such a life changing decision under undue pressure 🙂Dah! Naona yule jamaa ulimpiga chini Nemo.
Mkuu ultimatum ilinishinda................I just couldn't make such a life changing decision under undue pressure 🙂
Wewe mke wako bado hajazaliwa.Habari za jumatatu,
Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;
1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.
2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.
3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.
Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Bahati nzuri au sijui niseme mbaya, sijawahi kufikia stage ya kusema huyu anafaa kuwa mrs then akanikataa.
Sawa mama.Asante kwa kunijali mwaya.Nitakunong'oneza baadae........PRONDO asijetulalamikia eti uzi wake tumeugeuza LOVE CONNECT
Tatizo hauna kigezo cha umri anaoutaka.Kinachoniuma ni kukwambia akuunganishe sijui na nani wakati mimi nipo hapa!
Mie nahang out na wamama na wababa[emoji85] [emoji85]Vijana wengi wadogo hawajui. Kuna umri unafika unaanza 'kupoteza' marafiki. Watu wako busy na familia(wale unaolingana nao umri) mwisho wa siku unaanza ku-hang out na vijana wadogo kuliko wewe kwasababu ndio wanaopatika kirahisi.
Ha ha ha wewe una Superman..