MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Pole hilo swali sio zuri kama mmepoteana long tym. Mbiti mbeya umesoma sekondari au primary?
secondary mae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole hilo swali sio zuri kama mmepoteana long tym. Mbiti mbeya umesoma sekondari au primary?
2 boysWewe unao wangapi
mwanaume ni hela tu hakuna umri wa kuoa!
mimi mwenyewe ni 48+yrs na nina "wachumba"watatu wote ni below 22
umaskini ndio unawafanya wanaume wengi wawahi kuoa....kama hela ipo hata 50+ yrs unapata mke...mzee ni maskini tajiri hazeeki!
Mhhh ngoja nije inbobo twaweza kua tulisoma skuli mojasecondary mae
Mhhh ngoja nije inbobo twaweza kua tulisoma skuli moja
Basi Mr angekufaa maana wikendi ndo huwa kazi yake, huwezi amini ye ndo amepanda na kutunza maua hapa home, mwanzo walisema nimempa limbwata baadae eti ooh mkeo unamdekeza sana, hahahaa saiv eti tunaishi kizungu hadi raha
Aisee hongera ila uliwahi kuolewa una miaka mingapi now kama upo below 32 uyo Rafiki ako ambaye ajaolewa bado ajachelewa2 boys
Utasikia, "mchungaji hebu zungumza nae labda kuna jambo hataki kutueleza sisi!!"Hahhaa hukawii kuletewa na Wachungaji wakuombee
Wanaume wenye mentality kama hii yako obvious wana mipaka yao linapokuja suala la ku-approach wanawake.
Mwanaume mwenye mentality kama hii yako mara nyingi huwanasa wanawake wavivu wasiokuwa na maono ya mbali na future zao!
Mwanaume mwenye mentality kama hii yako ni nadra sana kuwa na ujasiri wa kumfuata mwanamke msomi ambae tayari yuko financially stable(unless uwe na cha ziada)
mwanaume anasema tajiri hazeeki na anatumia pesa kama msingi wa kujenga ndoa ni rahisi kulea watoto wa mwanaume mwenzie bila ya yeye kujua.
mwanaume mwenye mentality kama yako yuko kwenye hati hati ya kumpata mwanamke mwizi na muhuni.
Ooooh nimekumbuka, sasa si bora wewe ulikuwa nacho kimoja. Mie aliniambia hata cha bahati mbaya sina mweeeeh[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hivi umesahau lile tangazo lake na vile vigezo vyake vilivyotutoa nishai?
Aisee hongera ila uliwahi kuolewa una miaka mingapi now kama upo below 32 uyo Rafiki ako ambaye ajaolewa bado ajachelewa
Hata sijui aisee!Mkuu kwani bado tu?
Nakadiria una 34 basi kuna jambo linamsumbua labda hajabahatika kupata right partnerbtn 30-35
Nakadiria una 34 basi kuna jambo linamsumbua labda hajabahatika kupata right partner
Expossure ilimkosesha Heaven Sent mume, angekuwa mrs RRONDO sasa hivi lol[emoji85] [emoji85] [emoji85]Mkuu RRONDO, utakuwa unachagua sana aisee. Ila nakubaliana na yote uliyoandika; age, kuwa na mtoto nk.
Nimekuja huko DM nimekaa weeeee huonekani!!Kwa anetaka ndoa upo serious anicheck DM. Sitanii
Na wewe ni single mom??Safi sana, mtusaidiage hivyo hivyo tuepukane na balaa la kusimangwa single moms!!