MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Ukitaka wa umri mkubwa tafuta tu wenye mtoto ndio wengi 27-30+ lazim ukubali
 
Amani mkuu kuwa huru katika maamuzi yako.

Acha uoaga wewe, nikwambie tu kitu kimoja ni kheri ulee mtoto ambae unajua kabisa sio wako tangu awali kuliko kulea mtoto ambae unajua ni wako kumbe sio wako na unakuja kujua baadae, utakufa kwa stroke na hii tabia mara nyingi ufanywa na hao mnao waona ni brand new
Sio uoga, ndo ukweli!!
 
Habari za jumatatu,

Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.

Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;

1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.

2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.

3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.

Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.

Aisee wacha tu mimi nipambane na hali yangu hila hapo kwenye kuchagua sana pana nigusa kimtindo.
 
Dah! Naona yule jamaa ulimpiga chini Nemo.

Bills tulipe wote, diaper to change wote, chakula tupike wote, just share "errythang"! Mind you doesnt have to be 50/50 but cant be 90/10 either. Simply put, I want a life partner vs. a daddy, a master, or a general!
 
Dah! Naona yule jamaa ulimpiga chini Nemo.
Mkuu ultimatum ilinishinda................I just couldn't make such a life changing decision under undue pressure 🙂
 
  • Thanks
Reactions: BAK
IMO you made a a very good decision. Haya mambo ya ndoa hayahitaji kukurupuka under intense pressure vinginevyo unaweza kubaki unajilaumu for the rest of your life.

Mkuu ultimatum ilinishinda................I just couldn't make such a life changing decision under undue pressure 🙂
 
Habari za jumatatu,

Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.

Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;

1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.

2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.

3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.

Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Wewe mke wako bado hajazaliwa.
Subiri.
 
Vijana wengi wadogo hawajui. Kuna umri unafika unaanza 'kupoteza' marafiki. Watu wako busy na familia(wale unaolingana nao umri) mwisho wa siku unaanza ku-hang out na vijana wadogo kuliko wewe kwasababu ndio wanaopatika kirahisi.
Mie nahang out na wamama na wababa[emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom