MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

mwanaume ni hela tu hakuna umri wa kuoa!
mimi mwenyewe ni 48+yrs na nina "wachumba"watatu wote ni below 22
umaskini ndio unawafanya wanaume wengi wawahi kuoa....kama hela ipo hata 50+ yrs unapata mke...mzee ni maskini tajiri hazeeki!

Wanaume wenye mentality kama hii yako obvious wana mipaka yao linapokuja suala la ku-approach wanawake.

Mwanaume mwenye mentality kama hii yako mara nyingi huwanasa wanawake wavivu wasiokuwa na maono ya mbali na future zao!

Mwanaume mwenye mentality kama hii yako ni nadra sana kuwa na ujasiri wa kumfuata mwanamke msomi ambae tayari yuko financially stable(unless uwe na cha ziada)

mwanaume anasema tajiri hazeeki na anatumia pesa kama msingi wa kujenga ndoa ni rahisi kulea watoto wa mwanaume mwenzie bila ya yeye kujua.

mwanaume mwenye mentality kama yako yuko kwenye hati hati ya kumpata mwanamke mwizi na muhuni.
 
Basi Mr angekufaa maana wikendi ndo huwa kazi yake, huwezi amini ye ndo amepanda na kutunza maua hapa home, mwanzo walisema nimempa limbwata baadae eti ooh mkeo unamdekeza sana, hahahaa saiv eti tunaishi kizungu hadi raha



hahahaha hawakosagi ya kuongea mamy !shukuru sana Mungu !
 


umeongea ukweli mtupu
 
Hivi umesahau lile tangazo lake na vile vigezo vyake vilivyotutoa nishai?
Ooooh nimekumbuka, sasa si bora wewe ulikuwa nacho kimoja. Mie aliniambia hata cha bahati mbaya sina mweeeeh[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Kwa vigezo vile basi mie naona tusubiri subiri kushona sare maana zitapitwa 'fashoni' na Mentor nae sijui aliishia wapi na vigezo vyake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…