MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Bills tulipe wote, diaper to change wote, chakula tupike wote, just share "errythang"! Mind you doesnt have to be 50/50 but cant be 90/10 either. Simply put, I want a life partner vs. a daddy, a master, or a general!
Jiandae kuwa Single Mama tukutoooooooooooo*****e mpaka akili zikurudie
 
Thank you for appreciation BINTIYAZA

unajua aina ya watu kama huyo jamaa ndio wanaotuharibia wanawake, sasa hapo kupata uto tu binti tuwili out of desperation basi ndio ameona wanawake wote mchawi wao pesa tu.

Ulemavu huo!

ahahahha na kweli wanaharibu wanwake
 
mie ni vile sina kipato tu cha kukidhi kumtunza mwenzangu ila tofauti na hapo ngejitupia popote (ndoa ya serikali) kama chaguo likiwa si sahihi navunja ndoa.

mambo ya ndoa za kufungana maish nani? anataka.
Na bora hata ulivyohuna hela ya kumtunza mwenzio ...nani anataka ndoa ya mkataba kwa mfano
 
Well...rafiki zangu watano(watatu wadogo kuliko mimi) ni mmoja tu ndoa yake ipo hadi leo. Lakini experience zao hazitaathiri uamuzi wangu kwenye suala hili.
Mweeeeh!! Mie utasikia olewa bwana,mara oooh bora wewe haujaolewa na usiolewe, kesho tena unashauriwa kuolewa. Huwa nawaitikia tu kila ushauri hata sitii neno.
 
Kakudanganya nani mkuu....pesa sio kila kitu amin nakwambia
Ungefuatilia conversion nzima kati yangu na huyo niliemjibu ungejua kwanini nilitoa hio kauli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…