Miezi wakati unazungumzia 30-35!!!PPYEEEEEEEEE! huenda tumepishana miez tu ! ah wap
AsantePOLE
Mbona sijakuona pmMbona haujibu pm zangu!!
Ha ha ha ha daaaaah aseeee......wakati natype nlihisi kua nabugi ila ahsante kwa masahihishoMalaria!!
Heko kwako aiseeHata dada yangu alikuwa hawezi, mie ndio nilikuwa nafanya hilo. My friends kids pia nafanya tu sioni taabu.
Eti anazeeka vibaya!!Juzi dingi.kanitumia meseji utaoa lini au una mpango gani?
Nikaona huyu mzee ana zeeka vibaya.
Nikamjibu bado babaaa.
Mother of many?? Are you married??Hapana, am a mother of many.
Kusoma huwezi hata picha mama!!!Haha mbona Mfalme Herode. Niulizie basi kama naruhusiwa kwenda upya, niapply tena
Hebu funguka!Wewe acha tu...
Ni vizuri sana kama mambo yapo OK hakika ni suala la kumshukuru muumba...Mambo poa kabisa Mkuu namshukuru Muumba wetu.
Samahani Kama nimekuudhio.v.y.o
Una fikiri Dada angu sikumpatia picha kabisa nikaona kama ananiwangia tu.kuoa mchezo.Eti anazeeka vibaya!!
Nyie ndio nilitaka niwaguse ili mpate hasira ya kuzisaka sana, sasa tatizo vibinti vinaona uko serious vinaomba mbinu kumbe hata mbinu ya kupata buku tu sina !!!Wewe unafikiri ulikuwa hutugusi!
Ni vizuri sana kama mambo yapo OK hakika ni suala la kumshukuru muumba...
Na pia Usisahau kuwa Lebwade is back at the Land!
Bado sijakujoin lol[emoji23] [emoji23]Hahhaa nakuona na moyo wako wa kupondeka. So umenijoin #teamBonus#?
Nimetuma pm weeeh hata sijibiwi!!Mbona sijakuona pm
Hivi tunavyosema mnawaingiza chaka wenzenu unafikiri tunatania? Mimi siwezi kusumbuliwa na msimamo wa miss chagga ila kuna wenzenu wanabeba myasemayo na wanaona ndio maisha.Nyie ndio nilitaka niwaguse ili mpate hasira ya kuzisaka sana, sasa tatizo vibinti vinaona uko serious vinaomba mbinu kumbe hata mbinu ya kupata buku tu sina !!!
Nikaona huu sasa msala.